Recent content by Afrika_Bora

  1. Afrika_Bora

    JamiiForums Tanzania Kuna Mlipuko wa Homa na Mafua makali jijini Dar

    Noma sana
  2. Afrika_Bora

    JamiiForums Tanzania Njoo ujifunze machache kuhusu Radi

    Mlatinoh king vipi kuhusu Mafuta ya radi mkuu.. Niliwahi kuambiwa ni dawa pia
  3. Afrika_Bora

    JamiiForums Tanzania Ni wapi au kampuni gani inajishuhulisha na uuzaji wa kuku aina hii ya Chotara Kuroiler ambao ni uzao wa kwanza F1?

    Asante mkuu.. Kama una contacts zao ama page zao za mtandaoni unaweza kunipatia kama hatua ya mwanzo
  4. Afrika_Bora

    JamiiForums Tanzania Ni wapi au kampuni gani inajishuhulisha na uuzaji wa kuku aina hii ya Chotara Kuroiler ambao ni uzao wa kwanza F1?

    Kuroiler ni kuku Chotara ambae hupatikana kwa kupandishia kuku wa jamii mbili tafauti ili kupata matokeo mazuri zaidi ukilinganisha na kuku wa kawaida. Matokeo hayo ni pamoja na kutaga mayai mengi au/na pia kuwa na miili mikubwa kwaajili ya nyama. Hivyo kumfanya mfugaji wa kibishara kupata...
  5. Afrika_Bora

    JamiiForums Tanzania Je, hawa "Tanzania One" wamewahi kuifanya jambo gani la kipekee zaidi ya kufaulu vizuri darasani?

    Licha ya kuwa umesema umetembelea Harvard, ulichoandika hapa ni utumbo tupu
  6. Afrika_Bora

    JamiiForums Tanzania Natafuta platform ya watu hawa kwenye mitandao ya kijamii ili nichangamane nao mwakani

    Hao kama ni watu labda uwatengeneze wewe
  7. Afrika_Bora

    JamiiForums Tanzania DW: Jussa anapendekeza kuundwe Serikali ya Umoja wa Kitaifa Visiwani Zanzibar

    Sidhani kama amekusudia hivyo!
  8. Afrika_Bora

    JamiiForums Tanzania (Ofa bure) Ifahamu ofa ya asubuhi Supa Vodacom

    Nitaiamkia hii..
  9. Afrika_Bora

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndiyo sababu zilizompa Dkt. Magufuli ushindi wa kishindo

    Sababu kuu ni WIZI UJAMBAZI DULMA na UMWAGAJI DAMU Ipo siku atavilipia vyote hivi kabla ya KIFO chake
  10. Afrika_Bora

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. Mwinyi panapo nia utaitibu Zanzibar

    Wewe ungefanya nini !? Usiombe hawa MADHALIM wakakugeukia wewe.. Nchi hii wao ni above the law
  11. Afrika_Bora

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya mawasiliano na Serikali kama mmeamua kutuua na njaa ni sawa ila jueni Mungu anawaona

    SHETANI Hajawahi kuwa rafiki wa binaadamu katu ! Wasidhanie watu wengine wako salama, akiwamaliza hawa ni zamu yao kugeukiwa MITANO TENA !
  12. Afrika_Bora

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila anayepambana na Makonda huanguka vibaya, ona Pompeo

    ACHA UPUMBAVU KIJANA WEWE HUYO MAKONDA WAKO YUKO WAPI HIVI SASA ? MBONA CCM MNA AKILI ZA AJABU HIVYO !
Back
Top Bottom