Recent content by Africanis

  1. A

    JamiiForums Tanzania DENI LA TAIFA: Wakati Tanzania likiwa chini ya 50% ya GDP Rwanda kufikia 79% waamua kuachana kabisa na mikopo na kujikita kwenye PPP tu

    Ndugu, PPP haimaanishi serikali inawauza wananchi au kuacha wajibu wake. Ni ushirikiano ambapo serikali hubaki na mamlaka ya kusimamia sheria, viwango vya huduma na maslahi ya wananchi, huku sekta binafsi ikisaidia mtaji, teknolojia na uendeshaji. Tatizo si PPP yenyewe, bali ni mikataba mibovu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Bima ya Maisha katika Mkopo wa Bank

    Tuma “demand letter” kwa bima Barua iwe kutoka kwa msimamizi wa mirathi au wakili, ikiambatanisha cheti cha kifo, probate/letters of administration, taarifa ya mkopo na nyaraka za bima. Dai liwe: bima itoe msimamo wa mwisho na, kama claim imekamilika, ilipe deni la benki.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Bima ya Maisha katika Mkopo wa Bank

    Kisheria, suala hili lina pande mbili: deni la benki na madai ya bima ya mkopo. Kifo cha mkopaji hakifuti deni moja kwa moja; deni hubaki kwenye mali za marehemu/estate. Lakini kama kulikuwa na bima halali ya mkopo (credit life insurance) iliyomfunika marehemu, bima inapaswa kulipa deni kwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Zipi ni hatua za kufuata ili kujiokoa katika songombingo katika ununuzi wa kiwanja?

    Fanya upekuzi wa ardhi (search) Ofisi ya Ardhi Thibitisha kama kiwanja kina rehani, zuio, kesi, wadai, au kimeuzwa kwa mtu mwingine , mfano wakati mwingine unaweza Kuta kiwanja kimewekewa mkopo benki.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Zipi ni hatua za kufuata ili kujiokoa katika songombingo katika ununuzi wa kiwanja?

    Hakikisha muuzaji ndiye mmiliki halali Omba hati halisi ya umiliki/Certificate of Title au nyaraka za umiliki, kisha zihakiki Ofisi ya Ardhi. Usikubali nakala pekee. Ofisi ya Usajili wa Hati husajili hati, uhamisho wa milki na rehani.
  6. A

    JamiiForums Tanzania DENI LA TAIFA: Wakati Tanzania likiwa chini ya 50% ya GDP Rwanda kufikia 79% waamua kuachana kabisa na mikopo na kujikita kwenye PPP tu

    Miradi hii ni muhimu sana kwa serikali kwan Hupunguza mzigo wa serikali kutumia fedha nyingi za bajeti pekee.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Our Father - Don Moen

    Umepata?
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TBS haijatutendea haki Watumishi wa Mkataba zaidi ya 70 tuliofanya kazi miaka 5, tumeondolewa kazini ghafla bila chochote

    Kila mwajiliwa anapaswa kuachishwa kazi kwa kufuata Sheria na misingi muhimu na pia lazima kuwe na sababu muhimu mpatiwe, tafuteni wakili alisimamie hilo
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha jinsi yalivyo hapo bado hujafika, muombe sana Mungu akuepushe na MAJANGA soma hiki kisa cha kweli!

    Hatari sana ukimaliza chuo kikuu kichwa kinawaka moto.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Yesu anasema watakao mafuta watapata mabikira 100 peponi

    Jamaa anaforce 😆😆
  11. A

    JamiiForums Tanzania Simulizi kumi kali nilizowahi kuzisoma hapa JamiiForums

    Nzuri sana sema imeishia njian.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Urambo wanawafahamu hawa manabii, ni nini mnakifahamu zaidi kuwahusu?

    Ma Mawasiliano yake kama yapo?
Back
Top Bottom