According to Robert Wright, these reasons why some women cheat;
1. Resource extraction- getting things from multiple partners increases resource security.
2. Dilemma of off springs- Mating with multiple partners leaves each male with the impression that he might be the father of a...
nimefuatilia michango mbalimbali humu JF, wengi wakionekena kukubali nafasi ya pesa/mali katika mapenzi ya siku hizi. Je, niwaulize ninyi wanawake hasa ambao hamjaolewa, ungechague kipi kati ya kuolewa na mwanaume tajiri mke wa pili au kuolewa na asiye na mali kama the only dear wife wake?
Guys! Trust me, huyu binti anampenda sana jamaa ila kaachwa. Hapa anajaribu kujenga psychological denial kujipunguzia maumivu asahau. She's too frustrasted to be conscious of herself!
Wandugu,
Ni miaka nane sasa tangu mkulu wetu aingie pale magogoni lakini sijawahi kusikia akiwa na ziara ya kikazi Zanzibar kama anavyotembelea mikoa mbalimbali Tanzania bara mfano juzi alikuwa Kagera. Ukiacha ziara za kampeni, kwenda kwenye sherehe za mapinduzi, ina maana Zanzibar hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.