Recent content by AFRICA KWANZA

  1. A

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Waliompiga Lissu risasi watashughulikiwa, asisitiza wapelelezi wa nje hawana uwezo wa kukusanya ushahidi

    Wadanganye mazwazwa... na mnabahati watanzania wengi hawajui kufatilia mambo kwa kina muda mwingi ni watu wa kusikiliza umbeya tu
  2. A

    JamiiForums Tanzania IGUNGA, TABORA: Mwalimu wa Sekondari afikishwa mahakamani kwa kufanya mapenzi na mwanafunzi wake

    Ni kweli jambo hili siyo jema kabisa na ni kinyume na maadili yetu km Taifa lkn tunapaswa kuwa makini na maamuzi yetu kumfunga MTU siyo jawabu LA tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    JamiiForums Tanzania IGUNGA, TABORA: Mwalimu wa Sekondari afikishwa mahakamani kwa kufanya mapenzi na mwanafunzi wake

    Ni kweli lkn kumbuka hiyo siyo dawa tunatakiwa kutafuta majawabu ya matatizo haya jawabu ni zaidi ya jibu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

    Brother huo utafiti umeutoa wapi? Tanzania Ina uwezo gani wa kumiliki ndege ambayo misri hawana? Kwa Africa sisi ni wa 7 kivifaa Kenya katuzidi sanaaa tu kwa mujibu wa takwimu Kenya ndio inaongoza Africa mashariki. Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  5. A

    JamiiForums Tanzania Serikali haijui katikati ya Tanzania ni wapi

    Hill eneo mm ni Mara ya kwanza kulisikia msaada hill eneo la chisinjisa liko MKOA gani?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Serikali haijui katikati ya Tanzania ni wapi

    Chisinjisa .....mmmh hii enei liko wapi wadau?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Waliomuingiza mtu mweusi kwenye jeneza mahakamani Afrika Kusini

    Huu in ukatili wa ajabu hao jamaa wamezaliwa na wanawake kweli duu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Naona Giza mbele Kweye utawala wa Dr. Magufuli

    MAGUFULI yupo kwenye system mbovu sana hawezi kufanya kinyume na matakwa ya system mana hata RAIS MKAPA ambae amempigania sana bado anakashifa nyingi mfano ni kununua mgodi wa kiwira kwa bei ya mbuzi, kufanya biashara akiwa ikulu kinyume na sheria ya maadili ya nchi ya mwaka 1995 ibara ya 14 ya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Naona Giza mbele Kweye utawala wa Dr. Magufuli

    kwa jinsi uchaguzi huu ulivyokuwa na ushindani sikutegemea kuona watu wameshtushwa na ushindi wa magufuli kiasi hiki yani hadi wana ccm wenyewe hawaamini matokeo hari ya nchi iko kimyaa km kuna msiba wa kitaifa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

    Tanzania inashuka katika kila kitu hata jeshi letu limekuwa la kisiasa sana angalia jinsi nafasi za kwenda jeshini zilivyogubikwa na rushwa, kumbuka kauli ya mnadhimu mstaafu wa jeshi GENERALI SHIMBO wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 alipogeuka kuwa kada wa chama tawala wakati sheria...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri Jeshi la Polisi

    jeshi letu linahitaji marekebisho makubwa ili liwe jeshi linalofanya kazi zake kwa weledi na kufata misingi ya haki za binadamu
Back
Top Bottom