Kila la kheri Jeshi la Polisi

Kila la kheri Jeshi la Polisi

nexus white

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
210
Reaction score
81
Jana katika uzinduzi wa kapmeni za chama cha Mapinduzi (CCM) tumeshuhudia vitu vingi vizuri kama uhuru wa watu kushangilia kwa amani na utulivu, pia tumeshuhudia maandamano makubwa na pia muda ulizidishwa dakika zipatazo 36, lakini kwa kuzingatia mahitaji na matarajio ya wananchi kupata au kusikia hoja, polisi waliweza kutulia bila kupiga mabomu ili watu watawanyike, Ni vizuri sana

Ombi langu kwa Polisi, Tunaomba pia muwe hivyo kwa wenzetu wa upande wa pili (Wapinzani), Msisababishe vurugu zisizo na lazima, acheni watu waandamane waende kwenye uzinduzi, hata muda ukizidi tuvumilie kwa siku hiyo ya uzinduzi

Tufanye siasa za kuvumiliana

Nashukuru sana
 
Jana katika uzinduzi wa kapmeni za chama cha Mapinduzi (CCM) tumeshuhudia vitu vingi vizuri kama uhuru wa watu kushangilia kwa amani na utulivu, pia tumeshuhudia maandamano makubwa na pia muda ulizidishwa dakika zipatazo 36, lakini kwa kuzingatia mahitaji na matarajio ya wananchi kupata au kusikia hoja, polisi waliweza kutulia bila kupiga mabomu ili watu watawanyike, Ni vizuri sana

Ombi langu kwa Polisi, Tunaomba pia muwe hivyo kwa wenzetu wa upande wa pili (Wapinzani), Msisababishe vurugu zisizo na lazima, acheni watu waandamane waende kwenye uzinduzi, hata muda ukizidi tuvumilie kwa siku hiyo ya uzinduzi

Tufanye siasa za kuvumiliana

Nashukuru sana

Mawazo hayo ni mazuri na pengine ndivyo inavyotakiwa kuwa, lakini kwa matusi yaliyoanza kutolewa na viongozi kama Mkapa ya ''ni wapumbavu na malofa" hizi zitakuwa ni ndoto za mchana. Hapa ni wapige tu, mtu mpumbavu na lofa anastahili kupewa haki sawa na mtu mwingine? kama ingekuwa polisi hawafanyi kazi chini ya amri ya boss wao hilo lingewezekana lakini kwa vile wanaamrishwa katu hilo halitawezekana kabisa.
 
jana katika uzinduzi wa kapmeni za chama cha mapinduzi (ccm) tumeshuhudia vitu vingi vizuri kama uhuru wa watu kushangilia kwa amani na utulivu, pia tumeshuhudia maandamano makubwa na pia muda ulizidishwa dakika zipatazo 36, lakini kwa kuzingatia mahitaji na matarajio ya wananchi kupata au kusikia hoja, polisi waliweza kutulia bila kupiga mabomu ili watu watawanyike, ni vizuri sana

ombi langu kwa polisi, tunaomba pia muwe hivyo kwa wenzetu wa upande wa pili (wapinzani), msisababishe vurugu zisizo na lazima, acheni watu waandamane waende kwenye uzinduzi, hata muda ukizidi tuvumilie kwa siku hiyo ya uzinduzi

tufanye siasa za kuvumiliana

nashukuru sana

tatizo la polisi wanafikiri ccm ndiyo waajiri wao badala ya sisi watanzania.
 
Kule ndo ajira zao ziliko na ndipo posho yao inapotoka.
Ni ngumu kumzuia mwajiri wako asiendelee na mambo yake.
Watakapo amka toka usingizini siku moja ndio wataelewa kuwa walilopaswa kulitenda 20 years ago limewagharimu maisha ya watoto wao wote na vizazi vya watanzania kwa ujumla.
Mungu awafungue toka kwenye usingizi wao
 
Pia polisi tunaomba mtutunzie umoja wa kitaifa ambao kidogo umeyumbishwa hapo nyuma, twataka uchaguzi ukiisha watanzania wote tuwe watiifu kwa raisi atakae chaguliwa kwa uhuru bila shuruti ya uvunjifu wa amani.

Maana hakuna raisi anaweza leta maendeleo kama watu wake hawampendi au hana ridhaa ya kweli kutoka kwa watanzani.

Tuache siasa tufanyekazi kwa kulingana na ujuzi tulifundishwa. Wanasiasa wasiweze kutumia makosa makosa madogo kufikia malengo yao.

Mungu bariki tanzania
 
Wafanye fujo kwani jana si ilikua ni fiesta.
 
alafu yule ndorobo wao wa dar kova na yale makengeza yake kama mjusi aliye banwa na mlango jana akusema kitu alipiga kimya sasa ngoja cku mzee MH. Raisi wa awamu ya tano lowasa akifanya mkutano wa ukawa ndio utamsikia tena kova akitoka povu
 
jeshi letu linahitaji marekebisho makubwa ili liwe jeshi linalofanya kazi zake kwa weledi na kufata misingi ya haki za binadamu

Rafiki hawa watu wanapigwa TRAINING za nguvu kila siku,tatizo lao hawatumii akili yao ya kuzaliwa tu.Juzi wametumia mamilioni kutrain Haki za binadamu na utendaji bora wa kazi zao kwa zaidi ya askari 200,leo wanafanya yale waliyoambiwa wasifanye.

Tujiulize ni nani yupo nyuma ya huu ujinga???
 
Back
Top Bottom