Serikali haijui katikati ya Tanzania ni wapi

Serikali haijui katikati ya Tanzania ni wapi

Mipaka ya nchi tay
faida ya kujua ni kma faida ya kuifaham mipaka ya nchi kma umeshindwa kuona umuhimu sawa pengine ndy uelewa wako ukutumavyo
Mipaka ya nchi tayari inajulikana tangu mwaka 1961 kwa ajili ya ulinzi na usalama wa nchi. Ila hili la kupajua katikati ya Tanzania sijaona umuhimu wake. Kama kuna umuhimu wowote uweke hapa na wengine tuujue. Bado hujanijibu mpaka sasa!!!!
 
Naibu waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi mh Angelina mabula alisema mpaka sasa serikali haijui katikati ya tanzania ni wapi. Waziri amesema serikali haijui ila ipo njiani kuanza upimaji ili uweze kuja na jibu kamili


Ndiyo maana ya msemakweli ni mpenzi wa Mungu
 
Tutumie akili kidgo tu, umbo la ramani ya Tanzania ni lipi ili ujue hiyo katikati ni wapi, when did polygon start having central point?
 
Kuna umuhimu gani wa kugundua hilo eneo la kati kati ya Tanzania? Serikali itafaidika na nini? Wananchi watafaidika na nini? Mimi nadhani kuna vitu vingine vya msingi na vya kuumiza kichwa lakini sio hili jambo!
....Wacha maneno ya kupoteza hoja ya msingi kwamba serikali haijui. Hiyo ni taarifa muhimu kuwepo, kama ilivyo kwa other country statistics. Mfano population data ni muhimu je mkulima kule Lunenzi Kilosa anafaika moja kwa moja na hiyo data?
 
N
....Wacha maneno ya kupoteza hoja ya msingi kwamba serikali haijui. Hiyo ni taarifa muhimu kuwepo, kama ilivyo kwa other country statistics. Mfano population data ni muhimu je mkulima kule Lunenzi Kilosa anafaika moja kwa moja na hiyo data?[/QUOTE
Mimi sijasema serikali haijui. Nimeuliza serikali inafaidika na nini kwa kutambua eneo la katikati ya Tanzania? Population data ni muhimu sababu serikali kuna vitu vingi inatoa kwa kwa msaada wa wananchi wake kama vile madawa, shule, hospitali, nk. Kwa mfano, huwezi kupeleka hospitali ya rufaa huko Lunenzi Kilosa sababu hakuna population kubwa. Pia, population inasaidia kupandisha hadhi ya miji kama vile kutoka manispaa kuwa jiji wanazingatia population ya watu. Naomba jibu "kuna umuhimu gani serikali kujua katikati ya Tanzania? Dodoma inatosha! Ukinipa sababu zinazoeleweka mimi sina shida mkuu
 
Back
Top Bottom