Recent content by afnhondya

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

    Kwani ulikuwa unaoa mke au dini yake??
  2. A

    JamiiForums Tanzania Urusi haina habari ya ISIS, yaipiga Ukraine kwa nguvu kulipiza kisasi

    Mbona nmeona taarifa ya Putin ikisema ni shambulio lililofanywa na JIHHAD ISLAMISTS GROUP??
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto: 95% ya waliokataa mkataba wa DP World tuko nao hapa tunaposaini na baadaye tutakula nao Ubwabwa

    Mpoto aelewe kwamba kila mwenye akili timamu aliesoma ile IGA kabla ya kelele za Watanzania ilikuwa ni ujinga mtupu. Na serikali inapaswa kushukuru sana sauti zilizolia against IGA ile na bado tuna hitaji la kuwekewa hadharani hayo maboresho tuliyo ambiwa mh Rais kwa faida yetu na vizazi vyetu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Makamba na Maharage hawapo, sasa tuone kama matatizo ndani ya TANESCO yatafika mwisho

    Kwani damage waliyo sababisha Kwa zaidi ya miaka 2 Biteko anaweza iondoa ndani ya wiki Moja?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwa huu mgao wa umeme na maji, ni dhahiri majamaa yanamhujumu Rais

    Wanao mhujumu mama wamewekwa hapo na nani?. Na Je mama hana vyombo vya ku detect hao wahujumu??.
  6. A

    JamiiForums Tanzania CONFIDENTIAL: Barua Pepe zaonesha Maafisa 62 wa Serikali ya Tanzania akiwemo IGP walihongwa Fedha na ACACIA (2008/2015)

    Simply walinda maslah ya nchi walijipa jukumu la kuibia nchi wanayo ilinda. [emoji86][emoji17][emoji24]
  7. A

    JamiiForums Tanzania Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Kwani nimekubishia? Mm nilikuwa nakukumbusha tu. [emoji28]
  8. A

    JamiiForums Tanzania Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Ivi unajua kwamba idadi ya likes ktk post yako inakupa majibu ya ulicho andika??.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr. Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?

    Kwa mfano baada ya kufutiwa hadhi hyo ya ubalozi Dr Slaa ikitokea mwananchi yeyote akaendelea kumuita BALOZI DR. SLAA kisheria mtu huyo atakuwa ametenda kosa gani?. Tuwaelimishe wananchi wasije jikuta matatani bure.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini baraza letu la TEC halikutoa waraka wowote ule kipindi chote cha serikali ya awamu ya 3: Tafakuri ya kizalendo inahitajika hapa

    Na kwenye hyo awamu ni kitu gani kilichotokea na kuhitaji tamko la kanisa Katoliki?. Na Je dini na madhehebu mengine nje ya Katoliki unao watuhumu ktk kipindi hicho walitoa WARAKA?. Au kwako wewe WARAKA hutolewa na wakatoliki tu?.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa

    Kwa hyo Siasa ni kwa ajili ya nani na Dini ni kwa ajili ya nani?.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Waraka umemtoa pangoni “mwenyewe”!

    Mh. Jk anapaswa kutambua mtu/nafsi Moja hii hii inahitajika kuhudumiwa na siasa na dini Kwa pamoja na wakati wote wa maisha ya duniani. So hakuna jinsi ambavyo binadamu kiongozi wa kisiasa/mtumishi wa umma/ majeshi/ mfanyabiashara au vyovyote vile ktk maisha yake ya duniani anaweza asihitaji...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

    Mbunge hana kosa lolote. KATIBA yetu ndio inasema sifa ya mgombea ubunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika. Sasa kama chako kikikupitisha kugombea na wananchi wakakuchagua unakuwa umetenda kisa gani?. Ni mwendo wa kutii maamuzi ya Chama bungeni. Need of KATIBA mpya kuweka standards...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T) kujenga Reli ya Kenya, Uganda na DRC kwa sharti la kuwa na mgao mkubwa Mombasa Port

    Kwa hyo huo wa Kenya ushaingiwa kiasi DP WORLD atake shares?. Na kama ni ivo Kwa nn huu wa Tanzania hausemi habari ya shares/faida atakazopata Tanzania. Huu ndio mkataba mama lazima utamke mambo ya msingi kama hayo ambayo Sasa upatikanaji wake ndio utafafanuliwa ktk HIGA. Si vema kudhani Kila...
Back
Top Bottom