Recent content by Afande Nyati

  1. Afande Nyati

    JamiiForums Tanzania Mbunge CHADEMA atishiwa maisha, kisa fomu dhidi ya Mbowe

    Wachungaji wa sasa sio watu wa kuwaamini sana. Bora angesema mwanasiasa wa CCM kuliko mchungaji.
  2. Afande Nyati

    JamiiForums Tanzania Shime shime vijana tujitokeze kushinikiza Bunge libadili Katiba ili kuongeza muda wa Urais

    Acha shobo za kijinga we dogo.
  3. Afande Nyati

    JamiiForums Tanzania Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

    nimependa jina lako..... namalizia "In causa sua"
  4. Afande Nyati

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akerwa na Bilioni 1 kutengeneza Mitaro Igunga

    Kuna muda bora kutulia tu kutizama mwisho wa mambo.
  5. Afande Nyati

    JamiiForums Tanzania Memorandum of understanding and articles of association

    Weka link ya huo uzi wa MOU mkuu tuupitie na sisi.
  6. Afande Nyati

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Hili suala mbona haliitaji ata tafakuli.
  7. Afande Nyati

    JamiiForums Tanzania CCM ya sasa inatuaibisha sana, bora kujiweka pembeni!

    Kosa kubwa walilofanya CCM mpya ni kuwaondoa strategist's wake wote kwa kuamini ni tishio kwa mkuu wa chama, badala yake kuamini walamba miguu ambao wengi ni mapoyoyo. Sasa wanakosa watu makini wa kutumia akili badala yake wana watumia mabavu bila kufikili athari.
  8. Afande Nyati

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Kweli kuna watu na viatu, wewe Habibu ni mtu.
  9. Afande Nyati

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

    Cha muhimu ndege ifike, haya mengine tuwasamehe tu, tulishawazoea.
  10. Afande Nyati

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Mkuu the Bold mchana umepita tena.
  11. Afande Nyati

    JamiiForums Tanzania Ndoto: Sehemu muhimu kwa afya ya hifadhi ya akili

    Mshana nilishawahi kuota nimepewa kisu nimchome bi mkubwa nikatupa nikakimbia hii inakaaje. Alafu mara nyingi huwa naota nagegeda japo simalizi nashtuka, hii nayo inahusu masuala ya kiroho au ni kawaida tu?? Na mtu akiota ota sana kuona nyoka ndotoni inakuwaje.
  12. Afande Nyati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mtu anapambana na mtu wake ilimradi kiki na kujipambanua

    Umesahau DAB dhidi ya Piere Emerick Aubemyang. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Afande Nyati

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amshukuru Pierre Liquid kwa kuhudhuria na kuhamasisha TOKOMEZA ZERO KISARAWE

    Leo kwa kiwa j2 tutabaki kiwa na piere, kuanzia kesho tutarudi kwa CAG na Air Hostages. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Afande Nyati

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kutokujua historia yako

    Tuanzie kwa viongozi wetu wa nchi wanaohubiri uzalendo, amani na mshikamano huku wao wakiwa wabinafsi, wezi na wasio na utu. Mmoja aliwahi kusema hakuleta tetemeko kisa tu hataka kusaidia ila upande wa 2 akatoa msaada. Unaweza kuona hii roho ya ubinafsi inaanzia wapi. Laiti kama hawa...
  15. Afande Nyati

    JamiiForums Tanzania Muda wa kukata roho marehemu hupatwa na mambo haya

    Mbona hawajaita sleeping, wameita death. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom