Huyo Mama Saburi hadi UWT wenzake hawampendi kwa fitna zake sema najua siku zake zinahesabika maana inajulikana wazi Magu ana beef na hiyo familia kutokana na historia yao ya upigaji
Mnakimbilia kutumia neno chuki au "hater" kila kitu kikiongelewa kwa angle msiyoipenda hapa bongo. Nani asiejua kuwa idea ya fursa ilikuwa ya mtu mwingine clouds wakaichukua?
Watu wengi wakisikia Clouds ina beef na msanii au mtu yeyote akili zao moja kwa moja zinawatuma kwa Ruge na Kusaga. Ukweli ni kwamba anaefanya kila kitu kinachohusu utendaji ndani ya Clouds Media Group ni mwanadada Fauzia. Huyu ndiye mastermind wa kila kitu kinachofanyika mjengoni kuanzia...
Meli kubwa ya kivita inayojulikana kama HMS Queen Elizabeth imeanza majaribio baada ya kujengwa kwa kiasi cha Paundi za Uingereza Bilioni 3 na kuwa meli kubwa ya kivita kuwahi kuwepo nchini Uingereza.
Meli kubwa ya kivita kuliko zote nchini Uingereza ndiyo hii.
Meli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.