Everton vs Burnley draw
Leicester CTY vs Bournemouth -draw
Southampton vs stoke city -1×
Swansea vs west ham-1×
Wartford vs west brom 1.5
La liga
Villarreal vs Girona 1.5
Sevvilla vs Atletc club 1×,1.5
Deportve vs eibar -2 (1-2)
Real Madrid vs Getafe -1.5 (3-1
Leo nafanya kama last week natenga pesa moja ya kujilipia moja nawekrza kwan last week corect score ilinitoa choz kwa kunipa mipesa .leo nasaka two teams ztkazotoka 0-0
Iitv wako live magomeni mtaa wa iiddrisa mgombea wa chadema salum mwalim yuko eneo la tukio baada ya wakala wa chadema kituo Namba 6 kuripoti box kuibwa.mwalim akizungumza na Itv mbele ya mkuu wa kituo na polisi amesema kweli box liliibiwa na limerudishwa.wapga kura wanasema lilichukuliwa na...
Napenda wanajf waendelee kuifanya jf ni darasa sehemu ya kujifunza na kurekebishana kwa nidhamu.
Naomba nisiingie ndani sana katika uchaguzi lakini nitoe picha ya kilichopo kinondoni.
Uchaguzi ni kama soka.kwa nini?
1.uchaguzu ni upinzani na lengo watu washindane kwa kufuata kanun maalumu baada...
M nafikiri hakuna heshima kubwa ya radio.kama zuena hii nyimbo ilipata airtme sana idhaa za kiswahili kabla ya kufahamika na tz local radio.Na kikubwa kuamini katika falsafa za José chamelion ambaye aliamini kuimba kwa lugha aushi ya kiswahil akimix na kiganda na akateka east africa.
Pia radio...
Kifupi katika huu mgoro kuna mmoja hajafaidika na lolote zaidi ya kujitia DOA liliondoa kabisa nguvu ya utuwake na mwingne ameendelea kuish katika ulimwengu wake yan hajaloose ndivyo alivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.