Siasa ni soka Kinondoni ni darasa

Siasa ni soka Kinondoni ni darasa

Joined
Dec 28, 2017
Posts
59
Reaction score
43
Napenda wanajf waendelee kuifanya jf ni darasa sehemu ya kujifunza na kurekebishana kwa nidhamu.
Naomba nisiingie ndani sana katika uchaguzi lakini nitoe picha ya kilichopo kinondoni.

Uchaguzi ni kama soka.kwa nini?
1.uchaguzu ni upinzani na lengo watu washindane kwa kufuata kanun maalumu baada ya uchaguz maisha yaendelee kama kawaida.Sawa na soka kuna kanuni na fair play game dk 90 zkimalizka undugu warejea.
2.Uchaguzi una wasimamizi ambao ni kama waamuzi na makamisaa kwenye soka hawa ndo wapili kuamua kuharibu uchaguz kama ilivyo kwenye soka.
Nb..wa kwanza kuharbu uchaguzi huwa na viongozi wa juu kwenye soka kama tz tutasema tff.

LENGO LANGU NI HILI.
Ili ushinde mechi kuna asilimia 20 lazma uzicheze nje ya uwanja kuanzia dk 1 baada ya mechi iliyopta kwenda kwenye mechi inayofuata.yan toka uchaguzi wa 2015.
Hapa katikati kutoka jumamosi hadi jumamosi nyingine kutakuwa na mbinu nyingi has I nyingne zitakuwa za kibabe na nyingine laini lakini ni hatari.(hata kwenye soka zipo haziruhusiwi lakini zinatumika na zinajulikana).
Mfano Kisa cha azm dewj simba ilipofka misri kucheza na zamalek mabingwa watetezi na kuwatoa wao waliwaza fitina n ubabe pekee lakin ikawa tofaut wakskuta wamepewa ofa ya kuchukua vitu bure super market.wakakuta hotel waliofikia TV za room zmeongezwa Chanel za porno.Kumbe zote zilikuwa mbinu za kuwafanya wachezaji wapoteze dira na hata mmoja ya viongoz wa simba hakutazama mechi kipnda cha kwanza kulinda dressing room.
Kwenye siasa pia kuna mbinu hasi ambazo znakuwa za ubabe ama laini kutafuta asilimia 20 kabla ya uchaguzi.

Tuijadili kesi ya chadema kudai fomu za mawakala .
Kivyovyote walikuwa sahihi kutumia plan b kushinikiza kuipata kabla ya siku ya kupiga kura kwan kama timu imefanya mazoezi ipo tayari kucheza mechi.
Mfano Simba ilipokuwa misri viongozi walijitoa mhanga waliamua kula chakula cha hotel in wachezaji ndio wakapikiwa chakula walichotoka nacho tz.kama kuumwa tumbo waumwe wao.hii ilikuwa risk lakin ni 40/100 kwan walipofanya hv waljpanga kama viongozi na walijua uwanjani kuna 80 zmebak na wachezaji watapambana .
Mimi nafkr kitendo cha chadema kufuata fomu kwa maandamano ni mtego walikumbana na mbinu hasi mbele yao wakaona hiyo ndo njia sahihi kuikokotoa na wakafanikiwa kuzipata hizo fomu.Lakini je ni wapiga kura wangapi watakosa kupiga kura kwa kuwa wamekamatwa.je wangap kishindo cha hofu kimewashika na hawataenda kupga kura.

Hizi ni mbinu tu kama za uwanjani zinaweza kuwa za kibabe ama laini mwisho wa siku ni kamati ya ufundi na benchi la ufundi kujipanga kwa sababu hazitaisha leo wala kesho.
 
Back
Top Bottom