Recent content by ADVENTURE JOHN

  1. A

    Tundu lissu atikisa bungeni,atoa kauli "waliozoea vya haramu vya kuchinja hawawezi.

    maneno ya mbunge huyo yasababisha kuzimwa ghafla kwa chombo cha habari kilichokuwa kikirusha matangazo kutoka bungeni.
  2. A

    Mh.Dr. Jakaya Mrisho Kikwete achaguliwa Kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2013

    Simanzi na majonzi kwa watanzania wote.mwaka 2013/2014 tanzania imechangia pato kubwa la uchumi wa marekani.
  3. A

    Chadema kutwaa jimbo la solwa_ shinyanga 2015.

    chadema yazidi kujizatiti katika jimbo la solwa,yajipanga vyema kutwaa jimbo la solwa 2015. wanachama wazidi kuongezeka
  4. A

    CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    wewe ni mjinga kweli,nenda ukawahubirie siasa yako wakina bibi na mababu ambao hawajasoma, sisi vijana ni chadema tu.
  5. A

    Masunula star yazidi kung'aa katika kijiji cha masunula shinyanga vijijini.

    wachezaji wanaounda timu ni Ngasa Richard,Jumanne mpemba,Jumanne bule,yohana christopher,paschal tabu,ngooma nhambi n.k
  6. A

    CHADEMA Solwa - Shinyanga yapamba moto

    chadema katika jimbo la solwa yaendelea kujizatiti katika kata za usule,mishepo,bukene,na katika kijiji cha masunula.
  7. A

    Thamani ya mwanamke iko wapi?

    wanawake wa siku hizi wanatia aibu ,matiti,kitovu nyinjenyinje,skirt ni transparent (------ yanaonekana,thamani iko wapi)
  8. A

    Natafuta mchumba

    wewe una elimu gani? je mwenye diploma ya udaktari vp?
  9. A

    Mpenzi wangu amenisaliti.

    nipe kwanza ushauri
  10. A

    Mpenzi wangu amenisaliti.

    girlfriend yangu amefanya mapenzi na rafiki yangu wa karibu,inaniuma sana,je nifanye nini? naomba ushauri.
  11. A

    Kijiji cha masunula- shinyanga ni tisho kwa maambukizi ya ukimwi.

    wizara ya afya iko wapi? enendeni mkatoe elimu ya ukimwi,waathirika ni wengi sana hasa watoto na vijana.
  12. A

    Kijiji cha masunula- shinyanga ni tisho kwa maambukizi ya ukimwi.

    wizara afya iko wapi? enendeni mkatoe elimu ya ukimwi,waathirika ni wengi sana hasa watoto na vijana.
  13. A

    Jimbo la solwa -shinyanga limezikwa na mbuge.

    jimbo la solwa shinyanga limezikwa na mbuge wake ambaye ni darasa la saba,halina chuo cha serikali chochote hata 1.
  14. A

    Simuelewi huyu dada kabisa

    nakushauri ufike kwa wasaidizi wa kisheri(wanatoa huduma bure) watakupatia ushauri mzuri.
Back
Top Bottom