Recent content by Adui mode

  1. A

    JamiiForums Tanzania Omega Ngowi: Rubani mdogo mwenye ujasiri

    Tafuta pesa kwanza
  2. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu abadili upepo, aanza kumsifu Rais Magufuli

    Sasa unafikiri ni kosa la serikali au kosa la wazazi wetu ndo wanatuimiza tusome tuwe na kazi nzuri na sio kujiajiri na kuajiri wengine nenda usome kitabu cha RICH DADDY POOR DADDY tukomboe vizazi vyetu mkuu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Rusahunga - Rusumo ifungeni tu ieleweke

    Kuna tetesi uwenda ni SRABAG GMBH wakapewa hiyo tender sio muda mrefu ndo maana mkandarasi alipomaliza kipande cha kwnz Ushirombo - Lusaunga bado hajatoa vifaa vyake ata asphalt plant hawajafungua so nafkir ipo kweny mchakato
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa siri za Tausi kufugwa Ikulu

    Sasa hapo kuna shida gani mkuu si amesimamishwa kwa kushindwa kuwajibika au?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tulivyowaza tukiwa watoto

    Kama kuna kitu kimewahinisumbua utotoni basi ni kifo cha baba wa taifa (Nyerere). Maana ilikuwa kila mtu namuuliza ni nani huyo mpk watu wanalia na kila mtu anaenda uwanja wa taifa, ilinichukuwa muda sana kuelewa kuhusu nyerere kwa kweli
  6. A

    JamiiForums Tanzania Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

    Suala la kuchapia kimaandishi au kimatamshi linatokea kwa binadamu wote
Back
Top Bottom