Sasa unataka jibu unalotaka usikie wewe? Hawa ndege hapa nchini wameletwa tu. Nothing special usitake kukuza mambo.Sawa mkuu, achana na hizo nchi nyingine!
Hoja imejikita zaidi kwa hapa Tz...
Acha wivu huyu kawakuta wachache tena wameterekezwa wajiokotee chakula na kutaga hovyo vichakani na mayai kuliwa na nguchiro na kenge. Muhudumu msukuma akiagizwa na kikwete anunue incubetor azalishe wawe wengi kagoma.Kwa nini maraisi wastaafu hawakujichukulia kupeleka kwao katika miaka yote waliyokaa Ikulu? Nyerere miaka 24, Mwinyi, Mkapa na Jk miaka kumikumi?
Huyu kuhamia tuu Ikulu ndani ya miaka miwili kesha beba na kupeleka Chato huku wengine akiwagawa hadi Kenya?
Huu ni mfano mbaya sana katika ubinafsi na kutokuaminika unapopewa dhamana ya Mali za kuziangalia. Jee akipewa hiyo miaka 10 atachukua mangapi? Ameshajimilikisha mangapi? Tuwe making na tunao wakabidhi Mali za taifa. Na kama uaminifu umepotea tuchukue hatua. Hata kuwapa wastaafu ni funika kombe kuficha aibu
Wakikujibu nitagije wanaliwa...?
Aisee, we ulisoma Madrasat Faswahiya kule Pangani Tanga!?
Utoto bhana una shda sana nakumbuka wakati nipo mdogo nasoma madrasa tulikuwa tunaweka Yale manyoya kwenye juzuu alafu tunasema huyu ni tausi wangu kesho anazaa .
Sasa wewe kumkubali ndio kunanifanya mie Nina roho ya kishetani? Sikiliza hii clip hapo chini ndio utajua roho ya kishetani anayo nani.Acha wivu huyu kawakuta wachache tena wameterekezwa wajiokotee chakula na kutaga hovyo vichakani na mayai kuliwa na nguchiro na kenge. Muhudumu msukuma akiagizwa na kikwete anunue incubetor azalishe wawe wengi kagoma. Yeye kafika kamfukuza mtunza tausi kaweka mtunzaji, kaleta incubator, kazalisha na ziada. Wengine ka export, wengine kawagawia watangulizi wake, wengine kajigawia wegine zaidi ya 1400 kapeleka ikulu ya chamwino bado stock ya magogoni ipo ya kutosha. Ulitakaje?. Acha roho ya kishetani. Mimi huyu JPM namkubali sana. Sasa aruhusu kila anayetaka kufuga na ana eneo afuge tuu shida ni nini kwani?.
Sijui kwanini watu wanapenda kukuza vitu vidogo kufanya mambo kuwa complicated unnecessarily hivi? Kabla ya Uhuru kulikuwa na tausi Temeke veterinary farm.Greyson msigwa Ana majibu
Mbona shule ya Secondary Mzizima yupo Tausi au huwa anatoroka toka magogoni?Unataka fuga nyara ya taifa nyumbani?.
Grayson kasema pia kuna mbuni wa kutosha ila tatizo lao ni wakali hasa wakiwa wanatagaGreyson msigwa Ana majibu
Uyo wa magogoni,huwa wanasambaa Sana postaMbona shule ya Secondary Mzizima yupo Tausi au huwa anatoroka toka magogoni?
Sasa hapo kuna shida gani mkuu si amesimamishwa kwa kushindwa kuwajibika au?Sasa wewe kumkubali ndio kunanifanya mie Nina roho ya kishetani? Sikiliza hii clip hapo chini ndio utajua roho ya kishetani anayo nani.
Msikilize JPM kisha sikiliza majibu ya JK kuhusu huyo mtumishi ambaye alikuwa na familia na ndugu wanao mtegemea. Kama una akili utaelewa kitu, lakini kama unatokea kundi lile la kusukumwa na hisia huwezi elewa
View attachment 1464004
Wazungu mbwa na paka wanalala nao Hadi vitandanitausi tausi tu hakuna nyuma ya pazia wala mbele ya pazia izo n mila na utamaduni wa kiafrika ambayo wenzetu wa dunia ya kwanza wanatushangaa tunapokaa na kuanza kukabidhiana mambo ambayo hana maana kwa dunia ya sasa
Ukisema hivyo sidhani kama jamaa anakuelewa, unamwambia aje moshi so akifika what next?I think ni pambo tu. Njoo Moshi maeneo ya SHANT TOWN kuna watu kibao tu wanawafuga. Muasisi wa ufugaji wa tausi katika eneo la Shant Town ni mzungu mmoja almaarufu BUNDI.
Hawa ndege ukienda India na Sri Lanka wapo wengi tu. Huwa najiuliza kama mtu akienda India na kuwanunua, na akawaleta nchini kuwafuga ataruhusiwa au ndiyo yale yale ya ''nyara za Taifa''?
Sijui kwanini watu wanapenda kukuza vitu vidogo kufanya mambo kuwa complicated unnecessarily hivi? Kabla ya Uhuru kulikuwa na tausi Temeke veterinary farm.
Uganda pia walikuwepo Makerere University na sehemu zingine.
Ndege hawa asili yao ni India na wako aina chache tofauti lakini sio rare species kama watu wanavyofikiri. Tanzania na hapa Dar es salaam kulikuwa na aina nyingi za ndege lakini baadhi ya hao wametoweka kutokana na kushambuliwa na kunguru mweusi.
Ingefaa hatua stahiki zichukuliwe kumwondoa kunguru mweusi ili kurudisha vizazi vya ndege wengine kama tetele, kasuku wadogo, shorwe, sparrows, dudumizi, kwasa, hata mwewe na kipanga.
JPM ameonyesha mfano kwa wataalamu wetu wa SUA na vyuo vinginevyo wafanyie kazi kurudisha ndege wa asili wa Tanzania katika miji yetu kwa faida ya vizazi vijavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nchi ina mila na desturi zake, na hawa ndege ni dunia ya ngapi?tausi tausi tu hakuna nyuma ya pazia wala mbele ya pazia izo n mila na utamaduni wa kiafrika ambayo wenzetu wa dunia ya kwanza wanatushangaa tunapokaa na kuanza kukabidhiana mambo ambayo hana maana kwa dunia ya sasa
Wale ni turkey a.k.a bata mzingaPale makumbusho opposite na tigo tower mbona kama kuna jamaa anawauza ila ni wale pure white hawana rangi mchanganyiko