habari wapendwa katika bwana,wale bolt/tax driver naomba kujua jambo moja hivi kuna wale abiria wanaolipia kwa njia ya credit card baada ya safari ile hela inayoingia kwa account yako unaitoa vipi na baada ya muda gani?

naomba kuuliza kujiunga lazma uend ofisini kwao au unaweza maliza mtandaoni? pia umesema unaweza tumia plate no ya njano utapata vipi kibali cha latra ambachontax mtandao watahitaji? mwisho kwa mkoani naweza ifanya? hukusu wateja mm nitawapata wengi tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.