Hivi wewe mtoa post na wenzako mtavumilia kweli mpite karibu na baa inayouza kitimoto halafu mkamuona msela kagonga kanzu katulia na demu wake kagonga juba tena kuongeza ninja wanagonga kitimoto na kinywaji. Mtavumilia kweli nyie!?!?
Hivi unapata raha gani ukimuooa binti wa miaka 14 au 15. Au wewe mtoa post ukiwa na binti wa umri huo utakukubali aolewe na mwanaume mwenye zaidi ya miaka 40 kisa tu dini imesema ni sawa!?!?
Waliotuletea hizi dini walituweza kweli waislam weusi wanajiona wao ni warabu na wakristo weusi wanajiona wao ni wazungu. Huu utumwa wa fikra sijui utaisha lini.
Mpe pole mkuu mwambie hata kiongozi mkuu wa nchi ambaye ni muajiri wake kila siku anasema hakuna kitu cha bure na ukiona mtu anakupa kitu cha bure jiulize Mara mbili mbili anataka nini kwako.
Cha kusikitisha walioingizwa kwenye mtego huo ni maafisa wa serikali. Hii inaonesha ni jinsi gani watumishi wa serikali wanavopenda kula vitu vya bure.
Kweli mkuu kwenye daladala kuna fursa kubwa sana ya kutongoza ukikaa siti moja na mtoto mkali unachofanya ni kupitiliza kituo tu. Hata kama ulikua unashuka Mapipa yeye anashuka mbezi mwisho unakomaa nae lazima kitaeleweka.
Gharama kubwa unayotumia kwenye daladala ni kupoteza muda tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.