Recent content by adrenaline

  1. adrenaline

    JamiiForums Tanzania Marekani Yatoa Zawadi ya Hadi Dola Milioni 10 kwa Taarifa za Mshukiwa wa Ujasusi wa Mtandaoni.

    Taarifa hizo ziko mikononi mwa madalali na zikifanya kazi vyema vilio vingine vitakuja mbeleni.Duniani kuna watu hawalali :p :p kazi ni kuchangamsha Dunia tu iende imechangamka
  2. adrenaline

    JamiiForums Tanzania Kwa nini baadhi ya maskini huona utajiri ukipatikana kwa njia haramu, huku matajiri wakisema: “Fanya kazi kwa bidii na uaminifu”?

    Mfano mdogo tu wakati wewe unafanya kazi sana...Maskini sasa...Mafuta yamepanda bei juzi..vuta picha..na rudi nyuma utaelewa uamninifu wa matajiri..madeal makubwa makubwa na njia za mkato.
  3. adrenaline

    JamiiForums Tanzania Petroli yapanda, EWURA yasema sababu ni mgogoro wa Kisiasa Mashariki ya Kati

    Yapande na nauli ipande...bado..
  4. adrenaline

    JamiiForums Tanzania Ajinyonga baada ya kuambiwa mtoto si wake

    Hatari na nusu...
  5. adrenaline

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    Ukiwatoa hawa wanaopiga kelele 90% walete mtaani huku kwenye mizunguko kavu kavu....watatembea nguo mkononi..ukifanikiwa kutoka funga mdomo..elekeza watu kwa jinsi halisi ya kujenga connection na utafutaji usiochosha mwili na roho.
  6. adrenaline

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    Mkuu si rahisi watu huwa wanaongea tu...kujiajiri kunahitaji moyo wa chuma...
  7. adrenaline

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Msajili wa Vyama, sajilini vyama vya Gen Z, msipofanya hivyo wataunda Vikundi vya Waasi!

    Watapelekewa moto watu..waacheni Gen Z..kuna hawa Gen Alpha..leo wameanza mitihani ya taifa ya la pili :p :p :p :p
  8. adrenaline

    JamiiForums Tanzania Single mother Tuwe makini sana wazee

    Uzuri wa Dunia yenyewe inazunguka..ila waliomo ndio wanahangaika nayo,,, Niliwahi ambiwa Mimi na wewe si wa kwanza...in the end who cares?It's you not them?Nani anaumia..wewe si wao. Changa karata zako vyema..kuna changamoto ukishajiletea hapa Dunia..Jua linaendelea kutoka..Mvua...
  9. adrenaline

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

    Nchi zima watu wamekaa kimtego mtego.....:cool::cool:
  10. adrenaline

    JamiiForums Tanzania BYD wamezindua "kei car" ya Umeme special kwa soko la Japan - BYD Racco.

    Hicho kwa mishe za town chenyeweee..wese si umeliona kule limeshuka huku limepandaa...oyaaa...sio poa
  11. adrenaline

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

    Kuna haja ya kusema???
  12. adrenaline

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwarabu azua shutuma kila kona Japan baada ya kulalamika vyakula vyote vina kitimoto

    Kaenda kufanya nini huko atuachie Wajep wetu....
  13. adrenaline

    JamiiForums Tanzania Je unaamini katika mambo ya nyota(zodiac signs)?

    Fuatilia mambo kwa utulivu hakuna kitu kipo kipo tu ulimwenguni kwa bahati mbaya..shida ni tunaingia tukiwa na njaa
Back
Top Bottom