Recent content by adonis marinya

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wale wazee wa series vampire diaries 6 imetoka

    Hunted season three mnijuze kama ishatoka
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wale wazee wa series vampire diaries 6 imetoka

    Nijuze ikitoka mkuu ellymckoye
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wale wazee wa series vampire diaries 6 imetoka

    Me natafuta strike back season five
  4. A

    JamiiForums Tanzania Diaspora tunaitosa rasmi CCM: Tunashirkiana na Ndugu Zetu Tanzania Kuwang'a Madarakani 2015!

    Ili mkidhapata uraia pacha mtutende kama gavana fulani ivi au nimtaje au mnadhani watanzania tumeshasahau uraia pacha tupa kuleee
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

    Punguzeni kutoa tigo kwani hatuwajui bhana huku mitaani na degree zenu mmejaa tele maarufu kwa kutoa tigo au tutajaneeeee
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

    Huyo mwenye degree ukishamwoa mwambie mhamie wilayani kwenu hapo siyo kijijini utaona moto atoke jijini aende wilayani au kijijini utadhani huko hakuna serikali coz kama ni mwajiliwa wa serikali atahamia huko ila weee utasikua mimi nihamie huko wachukue baba na mama yako waje mjini ila huko...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Corola premium milioni tatu

    Iweke hapa jamvini jina tu halitoshi
  8. A

    JamiiForums Tanzania AFCON 2015 Qualifiers: Msumbiji vs Tanzania

    Nchi kwanza kwani mwanao akikunyea kiganjani unakata mkono? Jibu ni hapana naipenda Tanzania nchi yangu Tanzania nyumbani kwanza
  9. A

    JamiiForums Tanzania AFCON 2015 Qualifiers: Msumbiji vs Tanzania

    Vipi jamani umeishaje mtujuze tafadhali
Back
Top Bottom