Recent content by Adolf dad

  1. Adolf dad

    TCRA naombeni majibu haya kabla ya kuhitaji alama za vidole za kila mmiliki line, je technology ya kisasa imewashinda?

    U can't change kafira ....unless it change u.... Hii jamii imefika mahala watu wanakiamka wanatoa maamzi pasi kuwashirikisha wadau kwa ajiri wa maoni......Tuombeane tu..... Semi..industrialized nation....: Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Adolf dad

    Jinsi ya kuondoa msongo wa mawazo

    Duh nao n mtazamo
  3. Adolf dad

    Roma bado inatawala dunia

    najua watu tunavyo kumbatia visa vya kiyahudi na kuvipa kipaumbele katka maisha yetu....mmesahau imani za mababu zetu na wahenga......dini zmekuja karne gani.....hakuna neno jumamosi wala jumapili kwnye bibilia.....hamjui hata sku hizi kihistoria tuaenzi miungu ya kigiriki....kwa mwenye fikra...
  4. Adolf dad

    Rais Magufuli amaliza ziara ya Iringa na Morogoro. Wabunge wa CHADEMA wapata fursa kuongea naye ana kwa ana!

    Ni rais wa Watanzania masuala ya itikadi na uvyama naona hauna tija cha msingi ni kutafuta njia mubashara ya kutatua kero za wananchi.....
  5. Adolf dad

    UVCCM yawatakia kila la heri wanafunzi wa kidato cha sita

    kila la heri ingawa kuna mwingine kajitia kitanzini huko Tabora...... hari si shwarii kabisa
  6. Adolf dad

    Nisaidieni nimuelewe rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli

    viongoz ndio wabebao dira ya nchi..kumbe jamaa anahitaji how to unlock mindset......[emoji61]
  7. Adolf dad

    Andika sentensi hii kwa kiingereza

    ndo utajua elimu ya makaratasi inavo sumbua kuifayia vitendo
Back
Top Bottom