Shukrani kwa majibu yako,
Pamoja na maelezo yako, bado hujanambia majini hasa ni kitu gani? Hujasema kwanini wanatumia Quran ambayo imeteremshwa kwa binadamu wakati wao ni majinni? Kwanini wasiwe na kitabu chao sawa na maumbile yao na wakakifuata hicho? Kwa upande wa Ibilisi, je ni kweli ni...
Hujafafanua ni nini hasa majinni. Hujasema hao majinni wanafananaje? Hujasema kama majinni ni viumbe vingine kwanini wanatumia Qurani hiyo hiyo badala ya kuwa na aina nyingine ya vitabu ambavyo haviingiliani na wanadamu? Hujasema kama majinni ni viumbe ambavyo tunazaliwa navyo kwanini wahusishwe...
Hoja ya kwanza, Si kweli kuwa Lucifer ni mwenye nguvu kuliko Mungu na pia, si kweli kuwa duniani maovu ni Mengi kuliko mazuri. Ukweli upo hivi; Siku zote Lucifer au shetani hawezi kumshinda Mungu hata kama Dunia yote apewe Lucifer au Shetani kwa sababu Mungu ndio muumba wa Lucifer na Shetani...
Mungu ni kweli yupo kabisa tena bila ubishi. Yupo kabisa kama vile ulivyo uwepo wa jua na mwezi. Lakini hatuwezi kumuelewa Mungu kwa kumtafakari kwa namna tunavyolitafakari jua au mwezi. Mungu ni beyond that. Na ndio maana waliojaribu kumtafuta Mungu kwa namna ile tutafutavyo vitu vilivyoumbwa...
Ndio maana mnsishia kudanganywa na ndugu CCM tu kwani ndio mafundi wa kuongea zaidi ya masaa mawili mwishowe mnaendelea kuwa maskini na kuitwa malofa kwa miaka 50. Amkeni huko usingizini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.