Recent content by Adil_101

  1. Adil_101

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    Njoo uongee humu JF ukishakuwa Tajiri...na kama lah, nenda ukajichue kichwa vizuri...
  2. Adil_101

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    Kwendaa uko...na upuuzi wako!!
  3. Adil_101

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    Unajua shida yako wewe ni kuwa hufikirii na pia huulizi, kwa ninavyo kuona wewe ni mtu wa kufuata mkumbo. Na ndiomana watu kama ninyi ni rahisi kutapeliwa ama kupotezeshwa maboya na kwenda kuchoma pesa zenu kijinga kabisa. Kwasababu, hujakaa kutafakari kama Wazo ni Wazo tu, Wazo halina...
  4. Adil_101

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    Wewe unafanya hiko, kitu au unanyegeka tu! Usiongee kuhusu yafanywayo na watu wengine...ongea kile unachofanya wewe!! Pia watu wanaofanya hizo biashara hawana nyege za kuropoka ovyo, coz wanajua kile wanachofanya kinahitaji vitendo zaidi na sio porojo za kijinga.
  5. Adil_101

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    Wabongo!! nisikilizeni....!! Haya mawazo ni mazuri sana...ila kabla ya kufuata kilichoandikwa humu ndani!! Embu jiulizeni kwanza: 1. Je, alieandika katoboa kupitia hizi biashara? 2. Je, alieandika anajishughulisha na nini? 3. Na kama ameshafanya mojawapo ya biashara, mbona hajatuonyesha faida...
  6. Adil_101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

    Acha ujinga mgando wewe...kuchanganya lugha ni utamaduni wetu...na utohoaji wa maneno haujaanza leo, upo kitambo sana kutokuelewa kwako ni Ujinga uliopo katika Ubongo wako.... Badala ya kutoa maoni yenye mantiki na tija kwa wenzako...unakaa na kuanza kuchambua lugha aliyotumia...acha ujinga...
  7. Adil_101

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

    Sasa hapo umecomment nn?
  8. Adil_101

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Ni hatari sana hicho kiumbe.[emoji124][emoji124][emoji102]
  9. Adil_101

    JamiiForums Tanzania Maisha Yake Hadi Kifo Chake Vilikua Wikipedia Wakati akiwa Hai

    AlijiGoogle akakuta kaandikwa na mtu asiyemfahamu, na kila siku kunajiupdate na taarifa zinakuja kuwa sahihi. Akafa kama ilivyoandikwa. UZI[emoji3468] ~Anaitwa Annora Petrova, alizaliwa Mei 5, 1991 Portland, Oregon US alikuwa ni mchezaji maarufu wa mchezo wa 'skating' kutoka US tangu akiwa...
  10. Adil_101

    JamiiForums Tanzania Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Waarabu wasaudia wanakawaida ya kujikweza na kujiona wao ndio watajatifu sana... Nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi enda Umrah na ilikuwa kipindi cha Ramadhan na ilikuwa Eid imekaribia, Basi Watu wa Yemen wakasema wameuona wao mwezi na kesho iswalie swala ya Eid ila cha kushangaza ni kuwa Watu...
  11. Adil_101

    JamiiForums Tanzania Usiizungumzie Teknolojia bila kuwataja hawa

    Hivi umesoma kilicho andikwa mpaka mwisho au unajiletea critques zako zisizo na msingi... . Kama umesoma mpaka mwisho basi ungekutana na maneno haya hapa [emoji116] . "Kama ambavyo unaweza ukaongeza majina ya wengine hapo chini Kwenye sehemu ya comment, ambao unadhani wali deserve kuwepo kwenye...
  12. Adil_101

    JamiiForums Tanzania Usiizungumzie Teknolojia bila kuwataja hawa

    Majuzi Alhamis wakati napita pita huko Quora,nilikutana na post iliyokuwa imeandikwa (katika mtindo wa swali) kwa maneno yenye weusi mkolezo, kilichonivutia na kuukonga moyo wangu, ni utamu wa swali hilo,hakika lilinifikirisha. Basi bwana, swali lenyewe lilikuwa linasomeka hivi, “If the...
  13. Adil_101

    JamiiForums Tanzania Maisha ya uhalifu + utundu wa kutoroka gerezani ya mwamb John Herbert Dillinger

    PART 2: . Kuna mwana alikuwa anaitwa Herman Karl Lamm, huyu alikuwa ni Mbobevu wa masuala ya kufanya wizi kwenye Mabenki na alikuwa na madesa yake kabisa aliyokuwa ameyaandika juu ya matukio hayo. . Huyu Herman Karl Lamm yeye aliishi kwenye miaka ya 1980 huko, na alifariki 16/12/1930 . Kwaio...
  14. Adil_101

    JamiiForums Tanzania Maisha ya uhalifu + utundu wa kutoroka gerezani ya mwamb John Herbert Dillinger

    PART 1: [emoji100]Sio tu Marekani yote, we ukipata muda nenda kawaulize hata FBI kuwa huyu John Herbert Dillinger aliwafanya nini!!?, wasipokujibu nenda Kapitie Mafaili yao, Utapata majibu huko. . Dillinger alikuwa ni kiongozi wa kundi fulani la kihalifu lililofahamika kama, ‘Dillinger Gang’. ...
Back
Top Bottom