Naomaba niwape mfano mdogo. kama una cheza kamali. Kichwa unapewa 2000, Mkia unatoa 1000. probability ni nusu na kila mmoja anatamani kucheza. kwasababu nyumbani unazo zingine. ikiwa 20000 kwa 100000. ingawaje probability ni ileile lakini watu wanapungua, ikiwa 200,000,0000 kwa 100,000,000...