Recent content by adamarcool

  1. A

    Hali ya sintofahamu Bungeni: Polisi waingilia kati, Wabunge wa Upinzani watolewa nje

    Kilimo sawa lakini ukumbuke mkuu wapinzani hawawezi kuwa wajinga kunga'ang'ania jambo hili, wabunge wanapokuwa bungeni ni haki yetu kujua nini wanafanya na wanazungumza wakiwa huko, hata kama anayeangalia ni mtu mmoja tu, kwa sababu TBC ni chombo cha umma na kinaendeshwa kwa kodi za wananchi...
  2. A

    Tuige Korea Kaskazini kupiga marufuku shughuli za kidini

    Mnapoleta mada jaribuni kuziweka katika mizania na athari zake kijamii, kiuchumi, kisiasa ili mwisho wa siku ziwe na matokea chanya kwenye jamii yetu, uhuru wa kuabudu ni haki ya kila raia maadama havunji sheria zilizowekwa
  3. A

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Pasco suala la kodi sio siri ni jambo ambalo wananchi tunapaswa kujua, kumbuka kuwa japo s kwa njia ya moja kwa moja lakini sisi ndio tuliyoipa ajira serikali kwa kura zetu na tukawapa watu wasimamie sasa kama watu waliopewa kazi ya kusimamia idara zao hawafanyi vizuri tunatakiwa...
  4. A

    Mdogo mdogo tutafika: Sasa Serikali ya Magufuli ijitafakari na hili!

    Kimtazamo naona nchi inaongozwa kwa matamko, shida iliyopo serikalini na mfumo wa uendeshaji serikali ambao kila raisi anapoingia anakuja na wa kwake kwa hiyo raisi akiwa legelege na mfumo legelege akiwa imara inakuwa kinyume chake. Mimi nadhani rais anatakiwa aangalie chanzo cha majipu, kwa...
  5. A

    Upinzani unakufa au CCM kinakufa?

    Kiukweli upinzani nchi hii umeleta mageuzi, Makelele ya upinzani juu ya udhaifu mkubwa wa serikali ya chama cha tawala ndio umemfanya JPM kufanya kila jambo ambalo litawanufaisha wanannchi.
  6. A

    Mahakama Kuu Kanda ya Tabora yatupilia mbali pingamizi la Wakili Husna dhidi ya Kafulila

    Yaani watu kupenda kutafuta njia za mkato? Kama alishinda kihalali mapingamizi ya nini , apambanae mahakamani kutetea huo ushindi wake kwa sababu haki na batili kwa kawaida havifungamani Kama ni haki yake kafulila ataipata tu
  7. A

    Wanamikakati wa CHADEMA/UKAWA wako makini

    siasa za kuwekeana masinia ya pilau na nyama yamepitwa na wakati now ni siasa za hoja na mipango bravo Ukawa
  8. A

    Wassira: Nitagombea urais 2015

    Huyu Mzee hafai, keshakaa kwenye uwaziri miaka kibao hakuna alichofanya zaidi ya propaganda tu, huu ni wakati wa fikra zenye maono sio zilizochacha kwa unafiki na fitina Kama huyu mzee
  9. A

    ACT yavunja ngome ya CCM na CHADEMA Kigoma Mjini

    Mfa maji haachi kitapatapa
  10. A

    Rugemalira: IPTL iliokoa fedha za serikali

    Huyo nae ameshatia kibindoni cola milioni 75 anajaribu kumung'unya maneno ili tumwone mwema. Kama utapeli alishafanya imetosha akae. Kimya
  11. A

    CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

    Rai watafute habari za kuuzia gazeti Lao na sio kumpaisha zitto kupitia mgongo wa cdm
Back
Top Bottom