Recent content by AdamAdam

  1. A

    Kupanda kiinua mgongo cha Wabunge: Nini msimamo wa Upinzani?

    ukiwa na akili timamu hauwezi kumwambia mwehu,ww n tahira kabisa.
  2. A

    Tuanzishe harakati za kuwazomea na kuwasusia wabunge wote bila kujali vyama vyao

    Nishawahi kusema wabunge wote ni wanafiki na ndio maana zitto anapigwa vita na wabunge wote co chadema peke yao!
  3. A

    Huu ndiyo ulaghai wa CHADEMA kwa Watanzania?.

    Mulugo kaondoka na flash ya majina na vituo vyao ajira mpya.
  4. A

    Kiongozi wa sifa zipi anahitajika kuondoa vita ya kati ya wakulima na wafugaji tz?

    Wapendwa wanajamvi hapa jf! Ni imani yangu kila mtanzania anaiyona au anaisika hali halisi ya migogoro iliyosambaa karibu kanda zote hapa tz hasa kanda ya mashari mfano morogoro. Naomba tujadili sifa zipi anastahiki raisi ajaye ili aondoshe kabisg hii migogoro? Nawasilisha.
  5. A

    Nani atatosha kuwa Waziri wetu wa Fedha baada ya kifo cha Dk. Mgimwa?

    Nundu anarudi na atapewa w.fedha
  6. A

    Tundu hafai kuwa mwanasheria wa CHADEMA

    Kweli hafai yaan mpaka anatoa siri za ndani za chama mahakamani kuwa CHADEMA SIO CHAMA CHA WAVAA KANZU NA BAGALASHIA!
  7. A

    Tundu hafai kuwa mwanasheria wa CHADEMA

    Tatzo GONGO! tangu babu aruhusu kwa wanachadema,sasa wanakunywa kiasi kikubwa mno.
  8. A

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    akili za darasan huna hata za utu uzima pia huna? Huo udin huuon au wewe ni kiziw pia n kipofu?
  9. A

    Nasubiria wagombea binafsi - hawa wa CHADEMA, CCM, CUF siwaamini tena

    Kweli bora tusubiri wagombea binafsi, kiongozi unaemtegemea anasimama jukwaan na asema akiingia madarakan ataruhusu utengenezaji wa gongo kihalali wakat kiafya ni hatari sana kwa watz.
  10. A

    Ndesamburo: CHADEMA ni sawa na Mti wenye Matunda...

    Watu wengne tunadhan mnaweza kuwa na busara na kuandika vitu vyenye maana, huwezi kuwa tofauti na mtu asiye na akili,unaushahid kuwa zzt kapewa pesa na ccm?
  11. A

    Usanii wa CHADEMA na hadithi za ufisadi (List of shame)

    Michadema mingi imekalia ushabiki,haitumii akili wala fikra kujenga hoja.
  12. A

    Mwaka 2014 Mheshimiwa Rais tafadhali zingatia haya...

    unataka aje akujengee nyumba au akufanyie nn ili useme kafanya kitu kwenye uongoz wake? Kumbuka "HAKUNA MKAMILIFU"
  13. A

    Unafiki wa Wabunge Huu hapa

    Huyu mleta uzi ajitahid kutengeneza heading inayoendana na content, angeandika'unafik wa wabunge wa ccm' hata hvyo huyu mwenyewe n mnafiki mkubwa sana,anaacha kusema ukweli hvi hajui kwamba hakuna viongozi kama wa CHADEMA. Ukweli ni kwamba matukio mengi ya kutisha yameratibiwa na viongoz wa...
Back
Top Bottom