Nasubiria wagombea binafsi - hawa wa CHADEMA, CCM, CUF siwaamini tena

Tuanze kutumia maneno ya Katiba, ni mgombea HURU sio Binafsi

Mgombea huru ni sahihi zaidi badala ya mgombea binafsi. Hata mimi nimeanza kuona dalili kwamba tunaweza jikuta tuna Bunge lenye wabunge wengi kama wagombea huru kama siasa za vyama zitaendelea kuendeshwa ktk misingi ya rushwa,fitina,majungu na upendeleo!
 
Kweli bora tusubiri wagombea binafsi, kiongozi unaemtegemea anasimama jukwaan na asema akiingia madarakan ataruhusu utengenezaji wa gongo kihalali wakat kiafya ni hatari sana kwa watz.
 
Haihitaji elimu ya shahada kujua wewe ni mlengo gani, ulifikili chadema ni lelemama, ukiwa chadema jua umekuja kupambana, we are here to solve problems, and those who are creating problems like Zitto must be excluded, ukiona muziki huu huuwezi tembea kimya kimya, sisi tunajitambua, hatununuliwa kama wafanyavyo ccm kupata wanachama, we know what we do.
 
umevurugwa
 
Gongo mbaya sana.... Hivi hapo kwenu ishaharalishwa? Kila anayekosoa cdm n mwanaccm basi watz wote sasa ni ccm
 
Naunga mkono hoja kbs ndo maan hata Rostam Aziz alisema amechoshwa na siasa za maji taka, siasa za Tanzania ni za kipuuzi sana, nakusudia kuanzia uchaguzi huu kuanza kupigia wagombea binafsi, nahamasisha watu kugombea zaidi kupitia nafasi za wagombea binafsi, hata mimi naanza kujiandaa kugombea kupitia nafasi binafsi
 
Ni kweli kabisa mkuu, hawa wagombea wenye vyama wanaendeshwa na vyama vyao au wanatetea maslahi ya vyama heri hawa wagombea huru.
 
Political parties are like New York Mafia families, CCM are the Gambinos, CHADEMA are the Genoveses, CUF are the Bonannos, NCCR are the Luccheses, TLP are the Colombos etc. They always feud but behind the scene work towards common goal, SCREWING EVERYBODY!
 
Back
Top Bottom