Recent content by Activits

  1. Activits

    Kwa utamu huu wa punyeto wanaume kando

    kuna watu wanakuchezea, hawajakufikisha unapotakiwa kuwa,ndio maana unaona pul ni zaidi ya muhogo live, jitahidi upate mjuzi mhangaikaji utarudiwa na akili ........
  2. Activits

    Ukeketaji, yaani “Female Genital Mutilation (F.G.M) “malengo yake ni nini?

    Du labda kunatofauti utaihisi ndicho nichotaka kujua, au niangalie au kushika nini nijue kipo au kimetolewa?
  3. Activits

    Ukeketaji, yaani “Female Genital Mutilation (F.G.M) “malengo yake ni nini?

    ukikutana na waliofanyiwa utajuaje? tofauti inakuwaje, hebu mnijuze ili nikikutana nae nijue aina ya dozi ya kutoa
  4. Activits

    Hivi kwanini wanawake walioolewa ni wepesi sana ukiwatongoza?

    Kijana hiyo avata inaonesha wewe ni mpare, jadi yenu kupenda hovyo, ni kweli hao viumbe ni wepesi sana tena wenye marika yasiyozidi 40, ila ukiwaendekeza 713 yako italiwa!!!!
  5. Activits

    Hivi kwanini wanawake walioolewa ni wepesi sana ukiwatongoza?

    ukhuty we umeolewa? nataka mawasiliano "pm"
  6. Activits

    Mapenzi yananichanganya

    Nenda dada ukapate kitu roho inapenda...... acha kuumiza moyo na asiyekupenda,
  7. Activits

    Hivi ni Kwanini "A" anampenda "B" Wakati "B" Anampenda "C" na "C" anampenda "D" ?

    du, ninachoamini mimi mapenzi yaliisha kabla ya kuja kwa utandawazi, baada ya hapo ni maigizo tu......, kosa hela we mwanaume uone kama utapendwa....
  8. Activits

    Ukitaka kujenga na kuanzisha kiwanda Tanzania, Kodi ndio hizi...!

    KODI/ ushuru wa matangazo & mabango.....( Rate zake ni kizungumkuti), kuzoa taka nayo ni imo.....,
  9. Activits

    NAHITAJI PUNDA WA KUFUGA

    Habari wana Jf, niko katika hatua za mwisho kukamilisha ranchi ya mfano ya ufugaji wa Punda hivyo nahitaji watu serious watakaoweza kuniuzia punda kwa bei nzuri. Nina mpango wa kuanza na punda 1000. mwenye kuweza kuwapata tuwasiliane (pm)
  10. Activits

    Prof. Benno Ndulu: Hakuna mdororo wa uchumi. Uchumi wa Tanzania unaendelea kukua...

    du ahsante.... nimekuelewa. kumbe tuna dola za kutosha bajeti ya mwaka mzima, tuko vizuri
  11. Activits

    Prof. Benno Ndulu: Hakuna mdororo wa uchumi. Uchumi wa Tanzania unaendelea kukua...

    Akiba ya fedha za kigeni ni dola bilion 4....., hivi pogba wa Man u alinunuliwa kwa dola ngapi vile?
  12. Activits

    Mbowe na Maalim Seif wafanya kituko kingine cha kisiasa hadharani!

    Hivi ni kwanini haipiti siku hata moja bila watu wa lumumba kumtaja Lowassa? Hebu jitahidini walau mkae siku saba bila kumtaja huyu baba tuone kama maisha yataenda au yatasimama
Back
Top Bottom