Recent content by activist

  1. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyoanza ujasiriamali kipindi nipo chuo

    Kwa hiyo hiyo nyumba ya kupangosha walikupangia na banda la ng'ombe?😆😆😆
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kesi ya mtangazaji aloyce nyanda na Aron Karugumjuli haijapanda Tanzlii mpaka sasa?

    Siku 3 zilizopita tulisikia kwamba mtangazaji na mwandishi wa habari wa star tv ameshinda rufaa yake dhidi ya aliyekuwa mkurugenzi wa nyamagana Aron Karugumjuni lakini mpaka sasa kwenye mtandao wa tanzlii kesi hiyo muhimu ya deformation haijapandishwa. Tunaomba kujua tatizo ni nini Mahakama...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kongole kwake Herieth Mwailolo, hakimu mfawidhi Mahakama ya wilaya ya Ilala

    Hakimu huyu anafanya kazi kwa weledi na kwa wakati. Unapofaili nyaraka kwenye mfumo wa mahakama wa Cms Judiciary hakimu huyu ni mara moja ata admit shauri hilo, na unapolipia tuu hata kama ni usiku wa manane ana asign kwa hakimu shauri hilo hilo siku hiyo hiyo moja. Changamoto ni mahakimu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Japhet Mattara aumizwa, anahitaji msaada

    Anatukana kila mtu kama mwehu huko X. Alichopata kinamstahili ili ajifunze kukosoa au kipingana na watu kwa adabu.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Chadema ya Mzee Freeman Ekael Mbowe unaweza kusema ndio ilikuwa Chadema bora

    Chadema ya Lissu imewezaje kusaidia kurejesha waliotekwa mkuu?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Chadema ya Mzee Freeman Ekael Mbowe unaweza kusema ndio ilikuwa Chadema bora

    Huu ndo ukweli ambao watu wnegi wa chadema hawataki kuusikia.
  7. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema kuanika hadharani majina ya vigogo waliopo nyuma ya pazia sakata la G-55

    Akiwataja nishtue. Nabet 100k kwako kama atawataja
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nyasi za Juncao: Suluhusho la malisho ya ng'ombe, mbuzi na kondoo

    Mkuu 1kg ya JUNCAO unaweza kupanda kwenye shamba lenye ukubwa gani?
  9. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kipa wa zamani wa Simba, Yanga na Songea auawa kwa kuchomwa moto na Wananchi wenye hasira kali

    Wiki iliyopita DJ wa kazimoto pub tabata segerea aliuwawa kwa style hiyo hiyo.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Jebra Kambole: Hatma ya CHADEMA sasa mikononi mwa wajumbe

    Jabali la siasa za upinzani, mwamba Freeman Mbowe apewe 5 tena.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wenje: Lissu alimsingizia Mbowe kahongwa magari mawili

    Minada huwa inatangazwa na madalali ndiyo maana Mbowe aliweza kwenda sinza akanunua hizo gari 2. Au alipaswa kuutangazia ulimwengu?
  12. A

    JamiiForums Tanzania KWA UAMUZI HUU, KWA NINI NISIAMINI HAKIMU ZENAS TARIMO WA MAHAKAMA YA MWANZO ILALA AMEPEWA RUSHWA NA TIGOPESA (HONORA TZ MOBILE SOLUTI KUPINDISHA HAKI

    Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa huduma za fedha wanasimamiwa na benki kuu chini ya sheria ya Bot Act na Bot financial consumers...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uozo na ukiritimba Mahakama ya Mwanzo Ilala

    Dah. Nchi ngumu sana hii
Back
Top Bottom