Asalam aleykum(AMANI IWE JUU YENU)
Kwanza nianze na kukupongeza Mr ps2 2014 kwa maamuzi mazuri uliyoyachukua japo kila jambo jema haliwezi kukosa wapingaji ata manabii walikuja na mambo mema ila yalipingwa sana na kuwekewa vikwazo kama wadau wengi wanavyotoa comments zao
Pili ningependa kutoa...
Dim Ray, Asalam aleykum, (Amani iwe juu)
Kwakua umeitaji dawa ya typhoid ngoja niitaje hapa kwa faida ya wasomaji wote na ALLAH atawapa nafuu tuseme Amin.
MAHITAJI
1.KITUNGUU SWAUMU
2.MAZIWA FRESH
MATUMIZI
Menya vitunguu vyako kwa idadi utakayoona ni rafiki kwako mana wenye matatizo ya...
Napenda unavyotoa ushauri kwa msisitizo kama unabisha we Fanya halafu ataona unayasema hayo bcoz mpk unakuja kuandika thread humu ndani tayari ushafanya utafiti wa kutosha...
Nimefurahi hapo uliposema stress zao wanazileta dukani hahahahha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo wazo la nimechelewa liondoe kwenye akili yako Tanzania kuna watu wangap ambao hawajawaza wazo kama lako so its a right time kikubwa zingatia ushauri wa wataalamu na ufanyie kazi.Siku zote binadamu tumeumbwa na pupa so acha kujikatisha tamaa eti nimechelewa sana don't think about that still...
Seneta Wa Mtwiz, Professional advice... mimi sina cha kuongezea maana umepita mulemule anayetaka kufanya hii biashara akifuata hizi nondo atapunguza risk kwa % kubwa sana japo risk ni usually kwenye biashara ila kwa thread hii itasaidia sana
iMind, Ni kweli plan anytime can change ila nilivyomwelewa mtoa mada kasema ukiitaji format anakutumia ili uandike mwenyewe..,,,
Ila ukihitaji unamwambia plan yako then yeye anakuandikia means anakuandikia kutokana na mawazo yako and then kama kutakua na mababadiliko utajua mwenyewe jinsi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.