Recent content by Action and Reaction

  1. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Hii Vita Iran ndo ameshinda Israel wanatishia kumuua Trump!!

    Aliyeleta Uzi hajui chochote .... Utafikiri shabiki wa Simba na Yanga yaan wanakuwaga na Hisia yaan..
  2. Action and Reaction

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DStv kuja na vifurushi maalum vyenye chaneli za mpira tu

    Canal Afu10 per month
  3. Action and Reaction

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dabi ipo

    Atakuwa Ally Kwamwe na Kasongo😀
  4. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Wako wapi watu wako mliosoma wote

    KWELI AISEE
  5. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Na polisi wakajichomeka haraka haraka, waliambiwa na nani Hadi wakaenda kuweka ulinzi?
  6. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kupangia watoto waliomaliza kidato cha nne kujiunga na vyuo

    Yaani mtu ana division3 yake nzuri unampangia kigoma kasome Meteorology, Ada 1m..... Lo!
  7. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer aishutumu Israel kuhusu Gaza

    Anajulikana kama Black Star
  8. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Iran inaweza kushambuliwa wakati wowote- Al Arabiya TV

    Mmh soon tutaona
  9. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, haiwezi kuharibiwa na kombora hata moja

    Huyo Iran hata Aweke kilometer moja kwenda chini Bado hanalolote, hana madhara! Israel ni nomaaa!
  10. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Hivi Wamarekani wanatumia sheria gani kuweka vikwazo nchi zinazopinga tawala za kisheria lakini wanashindwa kuwachukulia hatua Israel?

    Wapo kwenye mkataba wa kisheria kuilinda Israel( ni jambo la kikatiba)
  11. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Una habari? Mwisho wa mambo yote umekaribia!

    Hakuna Amani Tena Duniani
  12. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

    Kama kesi yenyewe inaendeshwa na huyo Mbena Kiswaga vakunjombre basi hapo tumepigwa.....
  13. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!

    1) Amina Chifupa alipotaka kuja kuwataja wauza unga- Chap... Aliuawa before press 2) Josephat Gwajima aliposema next atakuja na orodha ya watekaji- chap.. wamefungia kanisa lake!
Back
Top Bottom