Recent content by ACT TENA

  1. A

    Haya ndiyo Majina ya wagombea wa nafasi za uongozi Taifa ACT- Tanzania

    kiongozi mkuu wa chama anaweza kuchanguliwa kipindi chochote. Siyo lazima achanguliwe kipindi hiki. Katiba ya chama inaelezea swala hili vizuri tu.
  2. A

    Zitto Kutogombea Ubunge Kigoma Kaskazini, ni Kuwasaliti Wapiga Kura Wako

    Mkuu una hoja ya msingi na inayohitaji majibu sahihi
  3. A

    Maoni na uchambuzi wa Prof. Kitila Mkumbo kuhusu Sera mpya ya Elimu nchini

    kwani ukienda kusoma china,Japani au nchi nyingine zinazotumia Lugha zao tofauti na Kiingereza unafanyaje????!
  4. A

    Kwa hili tumuunge mkono Zitto Kabwe, Seneta Sonko nakukaribisha Tanzania

    Tanzania ni kubwa lazima wawepo wagojwa Wa akili Pia, Ila ugonjwa Unaoumwa mmh..??
  5. A

    Kwa hili tumuunge mkono Zitto Kabwe, Seneta Sonko nakukaribisha Tanzania

    mmh???,watu walio kwenye familia imara na yenye umoja huficha tofauti zao nje kwani hizo huzijadili ndani. Umazwazwa tu ndo hufanya mtu kuacha umoja Wa familia yake na kusema yasiyofaa, eti tu kwakuwa kuna matatizo nda ya familia.
  6. A

    Maziwa ya BROOKSIDE yana sumu?

    Hahahaha, ndo kampeni za kutaka "Uhuru kenyata" akatafute pakuyauzia maziwa yake??????? yapo mengi ya kuwapiga marufuku ili heshima iwepo bt mkwere amekaa kimya hajasema lolote
  7. A

    CHADEMA kutumia busara kutatua mgogoro ACT.

    hebu tupe vielelezo ili kuipa nguvu hoja yako juu ya uhaini na ukaidi Wa mwigamba
  8. A

    Chuo cha DIT ni ngome ya CCM

    good Eng. juzi niliwaona wakiwa wanahangaika kufanikisha upuuzi wao. Bado yanahitajika mabadiliko ya kifikra ili tufike tunapotaka.
  9. A

    Nahisi ananipenda na mimi nampenda sana ila bado hajanitamkia,nimtamkie mimi?

    Yap!uko sawa kwa upande fulani mkuu. linapokuja swala la mwenza Wa maisha ni tofauti na mpenzi Wa muda mfupi. vingezo vinavyotumika kumpata mwenza Wa kudumu ni tofauti kabisaa na vinavyotumika kumpata Wa kustarehe nae kwa muda mfupi. lakini Pia naona Kama mila na desturi bado zimekuwa...
  10. A

    Facts: 16 most powerful militaries in Africa

    Watu wanatumia nguvu nyingi sana kumpiga mleta mada, lakini wanasahau utafiti unapigwa kwa utafiti na kuangalia vingezo vilivyotumika katika utafiti husika. kimsingi tunapaswa kujitasimini kwa kina sana
  11. A

    Zitto Kabwe: Adui, Rafiki, Kipenzi

    hakuna uhusiano wowote mkuu na hicho chama. wengi pia tunasoma na kusikia habari kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari, bila kusahau vipo vyombo vya "udaku" pia.hivyo Nivema kufuatilia habari kwa kina ili kupata uhakika wa jambo husika.
  12. A

    Zitto Kabwe: Adui, Rafiki, Kipenzi

    ukumbuke PIA yeye ndiye aliyetembea maeno mengi na Dr. Slaa kama mgombea uraisi akimpigia kampeni kuliko mbuge yeyote CDM
  13. A

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    mkuu naanza kupata wasiwasi na habari zako, umejipanga kuleta habari za ACT hebu thibitisha habari ya mwandinga kwanza
  14. A

    Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

    Mungu akitaka kuwaondoa viongozi/watawala madarakani huwapiga upofu ili wasione yanaendelea na wakishakuwa vipofu hujawa na kiburi kwakuwa hawaoni huamini kuwa Wako sawa mwisho huwa Ni kuanguka Tu. wananchi wanayataka mabadiliko siyo kuyahitaji tena "wanayataka" waliopo madarakani hawalioni...
  15. A

    Ukweli kuhusu spiritual wife/husband

    Natumaini ni wazima kwa ujumla wenu, kwa mara ya kwanza nilikutana na neno hili 'spiritual husband' hapa jukwaa la MMU. kwa bahati mbaya halikuwa na maelezo, ila mchangiaji katika mada fulani aligusia kuwa kuna kitu kama hicho ambacho ''kinawatesa wadada wengi''. binafsi nilijikuta...
Back
Top Bottom