Recent content by Acray

  1. Acray

    Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    Kama ndivyo basi ni wazi Moro ndo mkoa pekee ambao kupata kujitambua itachukua muda sanaaaa...
  2. Acray

    Kijana tajiri wa Kitanzania ametajwa kuvunja rekodi

    Ikifika october watahangaika na maCCM yao make yanahujumu uchumi wetu watanganyika. Ngoja tuchukue nchi yetu tulio wazalendo na huo ubilionea utakua mwisho
  3. Acray

    Zitto kung’oka CHADEMA

    Acha habari zako za kipuuzi... Chadema iko TZ nzima ona kusini tunashain. Lkn yawezekana we ni mwanae Kinainai
  4. Acray

    Natafuta Mpenzi

    Acha habari zako ww eti unauliza... Mzigoooo!!!
  5. Acray

    Wazanzibari kuitolea kauli rasimu leo

    Wasaka tonge wote wanajifanya kumsahau Mwal. Nyerere na Tanganyika yetu. kwani historia ipo wazi ukirudi nyuma kidogo miaka ya tisini wakati wa mchakato wa mfumo mpya wa vyama vingi bila busara za mwalimu na mheshimiwa Walioba kulazimisha mambo yangekua kama miaka ya sabin kurudi. Tuikatae rasimu
  6. Acray

    Wazanzibari kuitolea kauli rasimu leo

    Jamani watanganyika na wazanzibar tuungane pamoja kuikataa rasimu ya akina ccm na wachumia tumbo wote kama kina Sita na kina Chenge, kina Seif Rashid na wenzao.
Back
Top Bottom