Recent content by acidplus

  1. A

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge maarufu Joyce Mukya

    Kale Kawimbo ka Mwana FA," kwani ina TV"
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

    Pombe haina m'babe,ukiinywa bila ustaarabu itakuumbua.Sasa mambo hadharani KUB umeumbuka Mkubwa.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vingi vinataka CHADEMA ife?

    Adui yako Muombe njaa.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli, Piga nyungu sana maana kikohozi chako kinanipa wasiwasi mkubwa!

    Pombe haina m'babe,hata tembo akiinywa kupitiliza itamdondosha chini.Sembuse wewe Kilanja wa Ufipa?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lijualikali ahojiwa na TAKUKURU. Adai wabunge wa CHADEMA wamejipanga kudanganya lakini hawatafanikiwa!

    Ustaarabu wa kula kula pesa za watu na kufisadi?Kwa kweli Arawa hata pia la taka likijaa litatulia na hapo taka zikianza mwaka nje ni lazima zitanuka na hao Paka wa vichochoroni na M'mbwa kuko watazichakura na kuzisambaza."IMEFIKA WAKATI MUAFAKA".Mnakula hadi mnavimbiwa na kujambia midomoni...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

    Hizo ndio rangi za hao mabeberu(their true colours)Usipate taabu nae. Balozi analikoroga, atalinywa tu. ZALEMDA
  7. A

    JamiiForums Tanzania Marehemu hasemwi vibaya: Watu wapinga vikali salamu za Rais Magufuli Juu ya kifo cha Rais Nkurunziza

    Ni jadi na Mkakati wenu Wapinzani hasa wananzengo wa nyumba mbili hizo mnaokumbatiana kwa huba bandia,kuona sukari ina maonjo ya chumvi Zero Hours
  8. A

    JamiiForums Tanzania Huyu kiongozi wa CHADEMA ndio aliyesababisha chama kuchukiwa sana

    Dua la kuku hichooo.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mhe. Lema: Mimi siyo Blueband

    Sijui nime NDIO! Mmmmmmmmh!Fisi haachi kula mifupa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wenu mtapoteza muda wenu

    CHUMA kimepoteza bora ni "iron cast" sio CHUMA cha pia.Kama hamaki na kulopoka lopoka ni kigezo,mbona hata kuku analogous tu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

    Zito wa Mwamgongo/Kagunga,nini maana ya shamba mbona umevurugikiwa ama umevurugwa sana.Kweli umesoma na kusomea lakini hujaelimika.Ulitaka nchi hii kukabidhiwe wewe mjanja wa Mwamgongo/Kagunga.Chama chako ndio kinaanza kwenye shimoni.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Peter Lijualikali aweka wazi uozo ndani ya CHADEMA

    Shame kimya kimya ill iwe nini?La kuvunda halin ubani.Bila kuyafichua vyema haiwezi Marika na kuwa katika sura ya kushindania kuongeza nchi.Vinginevyo Vyema yetu vya Upinzani nikabaki katika hadi ya SACCOS na Wanaharakati tu huku wakipiga hela kifisadi.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kahama Mjini(CCM), Jumanne Kishimba ashauri Serikali kuanzisha chuo cha wizi

    Ama kweli sasa inadhihirisha kuwa "Akili ni kama nywele kila mmoja anazo zake" Hivyo hili sio genge lililokuwa linafanya Biashara ya DHAHABU feki na BOT Mwanza kwa kuyeyusha koki za bomba.?(kakumba) UKUBWA WA PUA,SIO WINGI WA kamasi.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Freeman Aikaeli Mbowe: Mzalendo namba moja Tanzania

    La kuvunda halina ubani. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    JamiiForums Tanzania Leo nimegeuka kituko stendi, Nimelazimika kupanda basi na pasi yenye moto mkononi

    Haya Kana,mkasa kabambe tungia kitabu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom