Recent content by achuuuu

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Ninachotamani wote watolewe, tubaki peke yetu

    Kipindi wanaenda kupokea wageni earpot na kuongea live
  2. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Faiza Ally awachana wasanii kisa kuposti mambo ya CCM, adai wamepoteza heshima kwa njaa ya muda mfupi

    Kuna mda tunapotezaga nguvu kwa mambo yasio ya msingi!!! Kwani wasanii kuwa ccm kuna kifungu gani cha katiba wamevunja?? Na kwanin wapinzani na wao wasianzishe bend yao iwe inawambia??
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga imekubali kumuuza Best Player wake Aziz Ki kwa dola laki nane, ila inakataa kumuuza Mzize kwa dola milioni moja ? Akili gani hii?

    Mikataba ndugu!! Wachezaji wa nchi za nje mikataba yao wanayosaini wanaweka na vipengele vya kuuzwa timu inapofika bei!! Ila wachezaji wetu kwanza kusainiwa simba au yanga anaona kama amesaidiwa maisha
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Antony Mavunde huwa ana nafasi gani pale Yanga?

    Mjumbe wa bodi wa wadhamini yanga na ndo tajiri anaelipa baadhi ya wachezaji yanga
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mawakili wajibu hoja kwamba wametumwa na Yanga!! Watangaza kuwashitaki TFF na BMT Mahakamani

    Mbona ushangai taasisi kubwa kama fifa na caf kuwa na mgombea mmoja tu wa uraisi??
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia amebakia kama mgombea Urais TFF, wagombea wengine wakosa vigezo

    Mambo ksma yapi ayo yangemfanya ajiuzuru??
  7. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge

    Bado kijana ana nguvubza kulitumikia taifa kwanini astaafu
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nauliza kwa nia njema tu: Hivi Gen Z Kenya wanataka nini?

    Aya nenda kafe sasa
  9. A

    JamiiForums Tanzania GSM Ametufanya anachotaka

    Uwezi ukawazidi gsm kama huna nguvu ya mamlaka
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kuungwa mkono (Endorsement) kwenye uchaguzi wa TFF inalenga nini?

    Ao wanayanga wanaomtaka mayai wao wenyewe walimnyima uongozi kwenye klabu yao
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ni mtu wa ajabu pekee ndiye atakayechukia Wallace Karia kushinda tena Urais TFF, ila wenye Akili tunamkubali na atashinda tu

    Chini ya uongozi wa karia timu zote za taifa zipo active uwezi sikia timu yoyote ile ya taifa kuanzia under 15 mpaka timu za wakubwa imeshindwa kumudu maandalizi au kukosa nauli ya kusafiri !!! Pia ndo raisi pekee wa tff alietumia vizuri fedha za fifa ata fifa wenyewe wanalijua ilo!! Nenda...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ally Mayay amekosa endorsment (kuungwa mkono) asubiri Mamlaka ziamue

    Kwani ata ao wanaogombea si makada watiifubwa ccmm
Back
Top Bottom