Recent content by ACHINJEMERE

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

    Hakuna ata moja kati ya hayo unayoyaisi ambalo liliwai kunigusa. Ni sanaa , ucheshi na kujua mawazo ya watu!
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

    Wote inawahusu sema wanaume wamekua wagumu kupokea hii tiba m'badala.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Boko Haram na makundi mengine hayakamatiki?

    Haujamsaidia kitu zaidi ya kufumba zaidi, mweleze ata kwa kifupi ni kwanini hawakamatika. We umemuongezea makundi mengine IS an AL QAEDA.
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

    Ndio wewe tu umenielewa kuna watu hawajui kusoma na kumuelewa mtoa mada na mada yenyewe Mkuu.
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Andikeni "Wosia" mapema

    Jipange mnapokua hai kutegemea milasi ni kudumaza akili na kutafuta migogoro isio na sababu. Watu wanatimba mahakamani kupapalikia milasi ata kaburi wanasahau kulimia loh! Binadamu sisi mungu atusaidie!.
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Andikeni "Wosia" mapema

    Mwanamke akijua umeacha wosia WA kummilikisha Mali zote, ataingia tamaa ya kukutanguliza mbele za haki. Labda kama sio mmachame, na sasa imeenea kwa makabila mengi . Nikifa mke wangu achukue vitu vya jikoni vyote na vya chumbani kwetu.
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

    Uwe unasoma na kuelewa mada husika, na kumwelewa mtoa mada. Umeambiwa inaweza ikawe me au ke sasa uchache WA wanaume unakujaje?
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

    Ataruka kama panzi ukiweka kidole si unajua sisi wanaume tunapenda kuingiza tu,kuingizwa nooooooooo!
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

    Nimekuambia Mimi sina hiyo shida nasaidia jamii!
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

    Na wewe usiweke kidole atakuua!
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

    Usiogope hakuna athari zozote ni watu tu kuelewa wanavyotaka.
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

    Mi sina hiyo shida Mkuu ni msaada nimetoa kwa jamii.
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

    Uvivu wa kuwaza, nakupenda majibu ya haraka, ndio tatizo lako!
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

    Mumefika mbali hakuna ushoga hapo ni kukupotezea concentration tu!
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

    Mbona hakuna tatizo jamani.
Back
Top Bottom