Umenisaidia mimi nae anza kukua kiroho. Maana baada ya kusoma maandiko yale nilikua najifikiria Shetani aliwezaje kua unamchukua Yesu toka sehemu moja hadi nyingie ili ampe Majaribu. Kumbe lilikuwa ni jambo la rohoni.
Wanazingua sana aisee!!. Hapa kweli wana tu mix maana nimetuma hela mara kadhaa wanakata harafu nakozituma hazifiki na namba yao ya huduma kwa wateja haina msaada wowote hadi sasa.
Wamenikera sana leo yaani. Bora wangetupa hata taarifa mapema. Hapa mambo yangu ya faster yamekwama kwa sababu ya kukosekana kwa huduma yao.
Itawachukua sana muda kuwafikia M pesa kwenye suala la Mobile Money services.
Kuna kitu kinaitwa Static Electricity, some times human skin and hair are more likely to accumulate electric charges and have static electricity, hii hutokea pale pande mbili zinaposuguana kama vile ngozi yako na nguo uliyovaa ama kujifunika vikisuguana.
Vijana wawe Makini, Dunia sasa imeharibika usimuamini mtu, watembee na mpira hata kwenye wallet wa Emergency. Unakuta kadada kenyewe ka elfu 2000 na dalili hazijaanza kuonekana na unajaa hapo, matokeo yake ndo haya.
Arsis huko nyumba Simba alisema kwamba ukijibu wewe hilo neno Simba halitakuwepo, lakin sasa naona unajibu wewe na neno Simba linakuwepo. Huoni mnatuchanganya?
Arsis naona hapo Etugrul Bey na Lidafo wameshusha hadi aya zinazo ashiria Adam ndo Binadamu wa kwanza. Naomba na tusikie pia kutoka kwako binadamu wa kwanza ni yupi kwa sisi ambao hatuna ilmu zaidi ya hiyo.
Nashukuru kwa Faraja hii kwamba tiba ipo. Sasa Arsis naomba umshawishi Simba ajitowe tu anisaidie kwa hili Kaka yangu apone, nahitaji sana msaada wake hapa. Maana hili jambo linaninyima Amani na Furaha muda wote.
Arsis mimi nina kaka yangu ni ana ugonjwa wa kansa ambayo ilianzia Kwenye goti baadae goti likavimba sana, katembea sehemu nyingi sana mahospitali makubwa, kwa wataalam wa jadi lakini wapi. Cha kushangaza sasa anae dai kumloga ni Baba yetu mdogo na katwambia hapo tusubiri Jeneza tu hawezi kupona...
Nilikua siamini katika hawa Manabii mpaka pale nilipokutana na nabii mmoja ambaye kila akitoa unabii wake ulikua unatimia ama kupishana kidogo tu na tukio halisi.
Miongoni mwa nabii zake zilizotimia ni,
-Kifo cha the late prime Minister Edward Ngoyai Lowassa
-Ivory Coast kutokea nyuma na kubeba...
Gold City Company LTD iliyoko Geita Mjini inapenda kuwatangazia nafasi za kazi watanzania wote wenye sifa kuomba kazi katika kada zifuatazo;
1. Daktari daraja la ii ( MD) nafasi 3
Sifa kuu muombaji awe na leseni hai (valid license)
2. Radiographer/ Sonographer nafasi 2.
Sifa kuu muombaji awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.