Toa ushahidi wa kituo kimoja tu Zanzibar ambacho IT iliingilia mchakato wa kura Zanzibar, weka hapa. Au unafurahisha barza? Ukishindwa basi angalau lete kifungu cha katiba kilichomfanya jecha kufuta uchaguzi. Usiwe unaongea tu kama huna kaa kimya
Tungo ndefu sana dokta, hii inaonyesha ww ni mtunzi hodari sana, endelea kutunga na utanufaika. Ila ulizia zaidi kwa hao waliokueleza ni nini kimetokea mpaka maalim akaendelea kutumja hizo facilities? Muulize tu sheni nahakika atakupa jibu
Suala la muungano ni nyeti sana, ni siri kubwa ambayo rais yyte wa ccm akiingia ikulu huwa anaridhi na kuifanyia kazi.... kuna habari hata mwalimu nyerere kabla ya kufa aliusia sana kuhusu kulinda muungano, nani alimuua karume? Kwa ajili gani? Kuna taarifa kuwa wakati mwalimu anahangaikia uhuru...
Vita ni kila kona hadi haki isimame, maandamano ya wazanzibari walioko ughaibuni haikuanza leo wameanza zamani sana kabla hata ya umaarufu wa chadema..... unapoleta uzi jaribu kufanya ka utafiti kidogo
1. Maalim ameenda ikulu kuonana na kikwete akiwa amefunga, kumuomba Mungu amuongoze kwa salama na mafanikio, hakwenda kunywa kahawa wala juice
2. Maalim kwa sasa anapita kila kona, kuanzia kuonana na wazee, viongozi wastaafu, viongozi wa dini, jumuiya za kitaifa na kimataifa, mabalozi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.