Kweli wanasiasa wa nchii hii bado awajakomaa japo wao wanajiona wamekomaa unawezaje kuchukua pesa za chama kingine ili kukiua chama kingine hao ndo wanasiasa wetu walio komaa na vyombo vya habari kuwasifu wana ukomavu.
Kama ningekuwa utawala wa kifalme mimi ningependa kukipoteza kabisa kizazi chake kwani nahisi ni kizazi cha ajabu sana hasa kwa mtu kama yule kuaa mjinga kiasi kile hapana
Mapema kwa mara ya kwanza namuona JK wa 2 kwenye mabongo akiwa na kauli mbiu @ARI MPYA NGUVU MPYA nikiwa na umri kiasi ni mdogo wala sikutamani kumshawishi ata baba angu akampe kura ila nilisisitiza kwamba huyu atufari kwani ATA NDANI YA CHAMA ALIFANYA KAZI YA UCHIPUKIZI TOKA MDA so sidhani kama...
Yaaani ukiwa kwenye pick ata kidogo uwezi kuongelea matatizo ya wasanii wenzio ila ukishuka unaanza kujifanya mwanaharakati hy ndo iliyo mkuta huyo Anna Tibaijuka ila wakati waziri ata akuina umuhumu wa mbunge kutokuwa waziri
Kama wawekezaji waliweka mitaji yao katika mradi na wakaweza kuanza uzalishaji wa umeme na kuweza kuwagawia Tanesco na Tanesco wakasambaza kwa wananchi na baadae wanaingia mgogoro na Tanesco na mgogoro unaisha wanalipwa pesa yao na wanaanza kuigawa wa viongozi na watu wengine ambao ata awakuwa...
Sijapata ata siku moja kujua ni kwnin vijana tumetawaliwa na kutojitambua na kupembua masuala ya kitaifa kwa ajili ya taifa bali ni kufanya viongozi wa chama watufurahie tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.