kabla ya kumlaumu MUNGU ni vyema ukamshukuru hata kwa akili,maarifa ,uzima, utashi, ufahamu n.k alivyokujalia vinavyokupa kibuli, jeuri ghazabu, chuki n.k. Si kila mwanadamu ana akili/ufahamu/utashi/ufahamu n.k kama zako je wewe ungekuwa kama wao ingekuwaje. yako maswali ambayo sisi binadamu...