Hehe
Hivi una demu kweli wewe?
Punguza nyeto.
Najaribu kupunguza kitambi.
Nguvu za kiume zitaongezeka.
Wanawake wako wengi sana. Cha muhimu mvuto wako.
Mimi nahisi hauna huo mvuto.
hehe
Nahisi unapiga sana nyeto.
Nani anajali kama mtu mzima kasimama?
Hilo ni tatizo la ubongo wako.
Nahisi maisha yako hayasogei mbele.
Unaamua kufuatilia watu wasiokuhusu.
Naishi tegeta. Wateja wengi nawatafuta posta.
Kazi yangu inahitaji masaa 10-12 kila siku.
Lakini bado kila siku usiku nafanya kazi kwenye biashara yangu ya internet.
Hicho ni kisingizio. Kila mtu ana muda.
Ishu ni utayari wako wa kufanya kazi masaa marefu kuliko mshikaji wako yeyote...
Wewe acha utegemezi.
Kuna njia nyingi za kutengeneza hela.
Hiyo tabia utaenda nayo mpaka utakapomaliza chuo.
Huku duniani unajiriwa kwa uzoefu ulionao.
Jifunze jinsi ya kutenengeneza hela ukiwa chuo sasa hivi.
Hint: SALES
Ukimaliza chuo hakuna mwajiri atakayejali kama uko pumbu, na umekosa...
Utapata wakati mgumu sana kupata kazi ukimaliza chuo.
Unalalamika njaa.
Wakati unaweza kujifunza JINSI YA KUTENGENEZA HELA ukiwa chuo.
Acha kuwa tegemezi. Kuna omba omba wanatamani wangekuwa na miguu watafute kazi.
Wewe unalalamika njaa. Ingia zoom tanzania apply kazi za SALES.
Utajifunza...
Unaishi dunia gani ndugu?
Nani anauza semina humu ndani?
Michael kaandika post kusaidia watu kutafuta kazi.
Wewe kama hujui jinsi ya kupata kazi bila cheti ni wewe.
Mimi mwenyewe niliajiriwa bila cheti.
Kuna mbinu nyingi za kupata ajira.
Kama wewe hujui, haimaanishi alichoandika michael...
soma post niliyo
wewe huna akili.
soma post niliyoandika vizuri na uchangie.
kama uliwahi kuibiwa, au labda hujui kununua , vitabu ni wewe.
mimi ni nina library kubwa ya vitabu kwenye amazon account yangu.
nimeandika kusaidia mtu anayetafuta kazi akitokea chuo.
Nimelezea jinis...
Big up michael.
Nafanya kazi kwenye kampuni kubwa ya simu hapa tanzania.
kipaji muhimu unachotakiwa kuwa nacho ni SALES.
Ndio maana michael kaandika kuhsuiana na kufanya utafiti wa kampuni inayoajiri.
Siku zote kila bosi atauliza: kwanini akuajiri wewe? unaleta kitu gani kwenye kampuni yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.