Recent content by acc

  1. A

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Mtumishi wa Mungu ni zaidi ya raisi ni kweli ila kuongea maneno hayo siku ya Ibaada mazabahuni si sawa pia kakosa neno samehe 7×70 na ukuu wa mkoa si taluma hata la saba aweza kama anahekima na kipawa cha kuongonza
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

    Ukuu wa mkoa unahitaji elim na ya kiwango kipi hiyo si taluma mimi ninavyofaham
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusafisha uke

    Kama sabuni inakupa fangasi safisha kwa maji mengi pia hakikisha kidole cha mkono wa kushoto kile kilefu cha kati kinaingia ndani kabisa ukikitoa kinuse kama bado kinaharufu kisafishe kisha kiludishe kikafanye usafi pakiwa safi utaona mwenyewe ukikitoa hakina hata harufu. Tahazari kisiwe na...
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha kuhuzunisha kidogo lakini chenye Mafunzo mazuri

    Hakuna kama mama I love u so much
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Joseph Mbilinyi (Sugu) yavunjika, mkewe amlilia

    Jamani leteni hoja za maana kwani wao neo wanna anza kuachana hata wasipoludiana ni yao tena hakuna jipya
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sawa kuchukua simu ya mpenzi wako na kusoma sms zake?

    Unajua kuna watu wanavyoishi kwa maisha ya anasa do wanasumbua sana make swala la kushika simu ya mpenzi wako si mjadala ni kawaida sana
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Barcelona bana!

    Namuona huyo jamaa kama Ostaz kama ndiyo kachemsha sana avue tena Barca hakuna lolote
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hii nguo ya jokate sio

    Ukikaa na madakitari ya akili utapata aina nyingi ya vichaa huyu nae kasibitisha ukichaa wake haiwezekani kwa mtu ambae akili yake iko sawa akae vile
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaume

    Wewe unamiaka mingapi hadi ukatoa ushauli wa kitoto make na fahamu Maneno kama hayo ni ya wtoto ambao wanakalibia ujana do sentence zao
  10. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kundecha, afunga mjadala wa mahakama ya Kadhi, Aeleza kwa ufasaha mkubwa umuhimu wake

    Hata mimi huwa sielewi kwa nini kuwe na mahakama ya kazi tena serikari iwe inalipa hao wafanyakazi wa imani moja haiwezekani waamuane ktk nyumba zao za ibaada yatosha
  11. A

    JamiiForums Tanzania CCM nambari wani

    CCM Haifai kabisa
Back
Top Bottom