Recent content by acanthocyte

  1. acanthocyte

    Naanza kuwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu

    Kweli kabisa hapatakalika
  2. acanthocyte

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Lengo la huu uzi sio kutishana bana.
  3. acanthocyte

    Ndoa inataka kunishinda

    I wish unikutanishe na huyo mmeo kuna kitu naweza kumsaidia.
  4. acanthocyte

    Ndoa inataka kunishinda

    Kuna nguvu za giza nyuma ya hili tatizo lako. 100% nina uhakika ni hili. Mimi ni mhanga kama wewe.
  5. acanthocyte

    Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

    Pole Surbi. Ndoa zina mengi mama muombe sana akuwezeshe kusamehe ili upata amani ya moyo.
  6. acanthocyte

    Riwaya ya kipelelezi: Wakala wa Siri

    Robert tunaomba utuambie ukweli kama hii Tamthilia inaendelea au La! Maana mara ya Mwisho umepost OCTOBER 12. Ni mwezi umepita kimyaaaaa
  7. acanthocyte

    Hadithi, simulizi, stori gani umewahi kuisoma hadi mwisho hapa JF

    Namkubali sana huyu mwamba kwenye story za kijasusi SteveMollel
  8. acanthocyte

    Mahali wanapofanya massage Arusha ni wapi?

    Kwahiyo wanauza K kwa 150,000/= kwa kisingizio cha massage.
  9. acanthocyte

    Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

    Huwezi amini... yaani nimejikuta nasoma kisa chote aadi comments.
  10. acanthocyte

    Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

    Usilie mpenzi ni mitihani ya Dunia.
  11. acanthocyte

    Hatoi matumizi ya mtoto, kaomba nimkopeshe pesa

    Hata akija analia na kutembelea magoti usithubutu kumsikiliza. Atakuumiza kuliko alivyokuumiza sasa
  12. acanthocyte

    Swali kwa wanaume: Mnaposema mwanamke huyu mtamu, mnamaanisha nini?

    @Zeemadeit umeona maneno hayo ya mdau wa jf?
  13. acanthocyte

    Swali kwa wanaume: Mnaposema mwanamke huyu mtamu, mnamaanisha nini?

    Lakini hata mwandiko wako unasadifu utamu wako. Hivi vitu viko proportional. Sauti, mwandiko, muonekano versus utamu.
  14. acanthocyte

    Swali kwa wanaume: Mnaposema mwanamke huyu mtamu, mnamaanisha nini?

    Wewe dada muonekano wako tu unaonekana mtamu sana
Back
Top Bottom