Recent content by Abuwhythum

  1. Abuwhythum

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kivipi?
  2. Abuwhythum

    JamiiForums Tanzania Nikiamua kuacha kazi, mfuko wa PSPF watanipa stahiki yangu?

    Mfuko huo wa PSPF haupo tena
  3. Abuwhythum

    JamiiForums Tanzania Nikiamua kuacha kazi, mfuko wa PSPF watanipa stahiki yangu?

    Pesa yake ya PSSSF ndo italipa madeni hayo na kama pesa haitoshi unatafutwa ulipe deni lako. Ili uwe pensionable lazima uwe umechangia kwa muda usiopungua miezi 180 (miaka 15) Kwa miaka yako 10 bado haujawa pensionable
  4. Abuwhythum

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Yupo sawa, ni suala la approximations, na ipo into two decimal places.
  5. Abuwhythum

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni pagumu sana hapo. Wameshapiga mahesabu yao, watapata pesa mingi sana. Bora ubeti mwenyewe kwa options laini laini,
  6. Abuwhythum

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa App ya kudownload video za youtube

    Very and very applicable. Thanks and be blessed
  7. Abuwhythum

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa App ya kudownload video za youtube

    Wapendwa ukiachana na Videoder naomba kufahamishwa app nzuri ya kudownload video kutoka YouTube na kwingineko kwingi
  8. Abuwhythum

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiria mshahara wa Julai 2021 kwa hamu tukutane hapa.

    Mmemchefua Mwigulu Nchemba hamtaki kutuma na ya kutolea mwezi huu tukutane tarehe 31 kama salary slip inavyojieleza. Maana kutoa kabla ya tarehe ya mwisho wa mwezi ilikuwa ni ihsaan tu na siyo sheria [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  9. Abuwhythum

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simu kuonesha 'internal memory full'

    Inaonesha others sasa haijulikani hiyo others ni vitu gani
  10. Abuwhythum

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simu kuonesha 'internal memory full'

    Nina simu aina ya Samsung Galaxy A30, kila mara inaonesha internal memory full, na inashindwa ku-operate kabisa, hadi ninalazimika kuzima simu na kuiwasha tena ndio kidogo inakuwa na free space. Ikizingatiwa sijaweka vitu vingi vya kuifanya ijae. Sasa ninashindwa kuelewa iwapo hii simu ni fake...
  11. Abuwhythum

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simu kukosa space

    Kila mara simu yangu inaleta notification ya kuonesha haina free space na ikizingatiwa ina sijaweka vitu vya kuielemea, na ina internal ya 64GB. Tatizo ni nini?
  12. Abuwhythum

    JamiiForums Tanzania Wameniliza infinix hot 8 yangu,nifanyeje,box ninalo wadau

    Box lako litunze vizuri, itaendelea kuwa kumbukumbu Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  13. Abuwhythum

    JamiiForums Tanzania Wataalam msaada wa haraka unahitajika

    Tafuta origional and fast charger
Back
Top Bottom