Ushahidi upo eamws haikufa bali nyerere aliifuta akaanzisha bakwata na hoja yake ilikuwa finyu tu eti eamws inaongozwa na waarabu ndio akaanzisha bakwata inayoongozwa na mswahili
Kirefu cha eamws ni east africa muslim walfare society wakati bakwata ni baraza la kuua waislamu tanzania
Led singsung ukija znz utapata kwa laki 5 nchi 32 iko poa picha clear nami nishatumia mwaka iko fit.
Yule wa usa ukija tz na hizo tv zitapiga kazi maana siku hizi mpaka utumie decoder so zitaconvert na umeme kamq auto voltage basi ni poa.
Mkuu nokia hawawezi kutengeza simu ya android coz owner mwenyewe ana os ya kwake so itakuwa ni ubwege kutumia os ya mwenzie akaiwacha yake ife ila china walikuwa wakitengeza nokia under leseni ikawa inaitwa nokia asha na juzi tu wametoa simu ikiwa na os tofauti na nokia sasa hawa kwa kuwa ni...
waislamu walosoma wakati wa nyerere wote hawana majina ya kiislamu ndo wakabahatika kupenya mfano
Jakaya Mrisho Kikwete
kigoma ali malima
ukiwaona dotopile mzuzuri
ibrahim haruna lipumba
na wengineo
ukiona mtu ana majina full ya kiislamu ujue huyo alisoma znz wakati huo ilipokuwa nchi
kama...
JEURI YA PONDA NI KUTOKANA NA YEYE KUWA ANAMUAMINI ALLAH NA KUMUOGOPA YEYE TU.
so kikwete au hata obama wawe na nguvu kiasi gani kwa ALLAH wao ni dhaifu tu na kaburi ndio mwisho wao.
kwa muumini wa kweli hana hasara kwa mola wake akifa ni peponi, akifungwa ni itikafu kwake, na akishinda basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.