Unaweza pcm na kombi zengine...pcb minimum point ni tisa(9)...
Ukiwana chini ya point tisa ......alafu ukaforce mazara yake nikua system itagoma kukusajili kwaajili ya mtihani wa kuhitumu kidato cha sita...
na pia hatakama umefikisha point tisa au zaidi ila hauna atleas "D" tano kwenye masomo...
Ila mbona hata biashara nyingi zilokua zinashikiliwa na wakenya? Hata investment nyingi tu tz zilikua waanzilishi wakenya....cc mwanzo tuliwaachia njia vzur tu...ila wao wakapata bichwa kubwa sanaa...ikapelekea kusiwe na @FREE_MOVEMENT_in_EAST_AFRICA
Hayo ww tuambie....ivi zamani haukua unajiona sperio mbele ya watanzania....
Sema ukwel...mungu anakuona!!
Zamani Watu walikuq wanareact vp zukiwahabarishe kua unaundugu na wakenya??????
Mbona tatzo sio sisiem....tatzo nipale ambapo VIONGOZI WENYE uchungu , hawataki kuamini kua wakikitumia hicho "party" wataweza kushika madaraka....in short nikwamba "join your enermy..."
Mi nataman atokee mtu agombee kwa hao ambao hawaitwi wapinzani...alafu akipata madaraka afanye WONDERS kama...
Tatizo sio sisi...wao ndo walio anzisha...walikua wanajiona saaanaa....zamani ilikua watanzania ndo tunalalamika kama hivyo ulivyo shuka hapo juu!
Mkuki kwa ngurue...
Watanzania wengi hawana kinyongo na waafrika wengine ispokua hao ....mbona wasomali,wakongo,wamsumbiji na wengine wengi tu wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.