Recent content by abuu-naabily

  1. A

    Msaada: Laptop inashika sana moto

    Haijalishi unaiweka wapi, chamsingi hakikisha sehemu za kutolea hewa nje, hazizibwi. Pia inawezekana feni ni zima lkn ndan ya computer yako, kuna vumbi sana, Ukiweza kusafishwa itasaidia.
  2. A

    LAPTOP YANGU IMEKUWA NZITO

    Ukiwa unabadili OS hakikisha unatengeneza partition hata 2,halafu ile unayo iwekea OS ipe ukubwa kadri ya mahitaji yako. >Ukimaliza hakikisha unakwepa kuweka vitu vingi kwenye partition yenye OS, maana ikijaa pia anapelekea kuwa slow. >ukiwa na antivirus jitahid iwe ya kwanza kuiweka kabla ya...
  3. A

    Vipanga wa ngazi ya chuo ni feki vipanga wa ngazi ya sekondari ni halisi

    Haya kachukue div 1 yako, ukaombee kazi ukiwa na gpa ya 2.0
  4. A

    Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

    Haya rudia tena maneno yako
Back
Top Bottom