Rest in peace Prof. Nikifikiria mistari na uandishi uliopevuka katika riwaya ya Nagona na Mzingile. Hakika umekwenda na upeo wako wa juu wa utunzi wa kazi za kifasihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nafanya biashara ya hizo gari mkuu, daladala zinachangamoto.
Kiujumla body ya eicher haiitaji barabara mbovu za shurba tofauti na Tata. Lakin pamoja na hayo unapoweka hesabu kubwa unaongeza muda wa kulaza. Hizo hesabu za 200k ni kulaza gari saa 6 na kuamshwa saa 8 hivyo engine haipoi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.