Recent content by Abushiri

  1. Abushiri

    SPECIAL THREADS: Post home screen (Mwonekano) wa simu za wana JF

    Nimeipenda "taswira mnato" Hahahaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Abushiri

    SPECIAL THREADS: Post home screen (Mwonekano) wa simu za wana JF

    Hapo vip? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Abushiri

    Samatta hatomaliza misimu miwili ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

    Wee Jamaa ni Boya sana .... #Samatta hatomaliza misimu miwili ndio ila sio kwa kushuka ... Atachukuliwa na Timu kubwa ligi zinginezo ulaya!!! Lakini ukizungumza kuhusu kupikiwa .... Haujiulizi ni kwa nini yeye ndio aliyefika hapo?? Naomba nikutukane tena kuwa wewe Ni Fala Sent using Jamii...
  4. Abushiri

    Ndugu zangu Waislam kufundisha karate Misikitini lina maana gani hili

    Hata Primary School kunakuwaga scout ... Na si kila Shule inakuwa nayo and no one is comanded to practice coz it's an option. The same applies to Musjid's (Mosques). Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Abushiri

    Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

    Hivi kwani mradi wa Bagamoyo serikali yetu haiwezi kuikamilisha kwa nguvu zetu wenyewe?
  6. Abushiri

    South Africa: Julius Malema ataka Kiswahili kiwe lugha moja Afrika nzima

    Dada yangu mbona unaongea vitu OP kabisa, kama haujaelewa uliza. Julius Malema amesuggest kiswahili kiwe lugha maalum kwa bara la Africa as it English to Europeans. Hakuzungumzia kuungana kimataifa kuwa taifa moja.
  7. Abushiri

    Kupotea kwa mtoto Kelvin Edmund

    Habari WanaJamiiForums, Naomba uhusike na somo hapo juu, Nimepata hizi taarifa kwa rafiki yangu EDIMUND RUSHAMBYA mwenye namba ya simu 0757068739 baada ya kunieleza kuwa amepotelewa na mtoto wake KELVIN EDIMUND hapo mwezi wa sita mwaka jana Wilayani KAHAMA. Hivyo basi tunawaomba mtusaidie...
  8. Abushiri

    Erick Shigongo: Jinsi ya kutawala uchumi kipindi cha Magufuli

    Wote huamini kule wanachokifanya .... Na hufanya in the best way
Back
Top Bottom