Samatta hatomaliza misimu miwili ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

Wee Jamaa ni Boya sana .... #Samatta hatomaliza misimu miwili ndio ila sio kwa kushuka ... Atachukuliwa na Timu kubwa ligi zinginezo ulaya!!! Lakini ukizungumza kuhusu kupikiwa .... Haujiulizi ni kwa nini yeye ndio aliyefika hapo?? Naomba nikutukane tena kuwa wewe Ni Fala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua nitashambuliwa kwasababu waTz hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.

Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.

Twende kwenye hoja, ukiangalia samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakina kujitengenezea wala kujitafutia.

Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia . Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahis kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania

Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.

Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..

Hiyo round ya pili unayoizungumzia ni ipi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa haraka haraka tu nimegundua kwamba hujawahi kucheza mpira hata kidogo...samatta ni no. 9 kazi yake ni kufanya finishing na kunyemelea mipira ya mwisho. Mambo ya kukaba kukokota mipira anawaachia wengine. Mfano mzur ni Ruud van Nisteroy...mtaalam wa kumalizia tu
Daah umenikumbusha mbali sana mambo ya Ruud van Nesteroy mtaalamu wa kumalizia tu hakua na mambo mengi huyu jamaa!! hao jamaa wanao mponda samata watakua Wachawi!! Watanzania tunalogana sisi wenyewe badala ya kumtakia mtu baraka na fanaka tele!! Eti hatamaliza maada za kipumbavu kama hizi huwa sizipendi zinanichefua sana
 
Waswahili bhana, unaacha kumwambia ajirekebishe wapi ili azidi kuwa vizuri unatuambia eti hato maliza misimu miwili EPL as if wewe ni Mungu unaijua kesho yake,
Na kwenye kandanda hakuna bahati hata siku moja, bahati inachukua asilimia ndogo sana kwenye mafanikio ya mtu, kilicho mfikisha pale ni kipaji na juhudi sio kubahatisha,
Msipende kujifanya mnawajua sana binadamu kumshinda Mungu mwenyewe,
 
Najua nitashambuliwa kwasababu waTz hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.

Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.

Twende kwenye hoja, ukiangalia samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakina kujitengenezea wala kujitafutia.

Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia . Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahis kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania

Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.

Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..

Oyaaa!

Umeona namna Aston Villa wana-train?
 
Round ya pili ipi hiyo ikianza mkuu? kwani sasa ni round ya ngapi? Wao Astonvilla wanachohitaji ni magoli kutoka kwa Samatta haijalishi amevizia au ametafuta. Hivi lile goli alilofunga alitengenezewa au alijitoa mwenyewe?

Kifupi Jack Glealish anajiona father wa timu anacheza mpira mwingi badala atengeneze nafasi watu wafunge.
Mfano mechi ya jana mda mwingi Samata ananyosha mkono wampigie cross lakini wapi.

Wasipo mtumia Samata vizuri watashuka daraja hawa, ila kiukweli Samatta anajua kufunga sana ila Villa ni kama wanambania hivi hasa huyu Glealish anaona kama utawala wake utapotezwa kama wa Mputu pale Mazembe.
 
Muda utatusaidia kutupa majibu..
Utabiri wako ni sawa na wa Mamlaka ya Hali ya Hewa!

Jambo ambalo inabidi ulifahamu ni kwamba timu za wenzetu hazisajili mchezaji kwa kutegemea shangwe za mashabiki.
Huwa wanamsoma kupitia video na kujua mapungufu yake pia uwezo wake na hatimaye wanachukua maamuzi.
Hayo yote unayoyaelezea hapa waliomsajili waliyajua.
Mpira ni magoli, yanapatikanaje..hiyo ni hoja tofauti.
 
Round ya pili ipi hiyo ikianza mkuu? kwani sasa ni round ya ngapi? Wao Astonvilla wanachohitaji ni magoli kutoka kwa Samatta haijalishi amevizia au ametafuta. Hivi lile goli alilofunga alitengenezewa au alijitoa mwenyewe?

Kifupi Jack Glealish anajiona father wa timu anacheza mpira mwingi badala atengeneze nafasi watu wafunge.
Mfano mechi ya jana mda mwingi Samata ananyosha mkono wampigie cross lakini wapi.

Wasipo mtumia Samata vizuri watashuka daraja hawa, ila kiukweli Samatta anajua kufunga sana ila Villa ni kama wanambania hivi hasa huyu Glealish anaona kama utawala wake utapotezwa kama wa Mputu pale Mazembe.
Hii ni kweli jamaa wabinafsi sana wanazungukazunguka na mpira badala ya kuupeleka karibu na goli la adui kufunga.

Sio ajabu ndomaana wako chini kwenye msimamo wa ligi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua nitashambuliwa kwasababu waTz hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.

Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.

Twende kwenye hoja, ukiangalia samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakina kujitengenezea wala kujitafutia.

Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia . Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahis kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania

Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.

Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..
Mchezo wa mpira mkuu ni magoli,huwezi acha kumpa pasi Samatta timu ipate ushindi eti kisa jamaa ana vizia,wanachotafuta wao ni ushindi,we endelea tu kuwashawishi wasimpe pasi uone kama utafanikiwa,na kama ingekuwa kuvizia na kufunga ni kazi rahisi mbona na wao hawavizii ili timu iwe ya kwanza EPL,jua hata kuvizia kwenyewe kuwa ni kipaji kikubwa sana,ndio maana akanunuliwa kwa gharama kubwa kutokana na kipaji chake hicho...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua nitashambuliwa kwasababu waTz hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.

Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.

Twende kwenye hoja, ukiangalia samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakina kujitengenezea wala kujitafutia.

Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia . Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahis kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania

Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.

Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..
Huna tofauti na Lugola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah umenikumbusha mbali sana mambo ya Ruud van Nesteroy mtaalamu wa kumalizia tu hakua na mambo mengi huyu jamaa!! hao jamaa wanao mponda samata watakua Wachawi!! Watanzania tunalogana sisi wenyewe badala ya kumtakia mtu baraka na fanaka tele!! Eti hatamaliza maada za kipumbavu kama hizi huwa sizipendi zinanichefua sana
Enzi hizo rooney anahangaika kukokota mipira weee mwishowe anatupia kwenye box....van nisteroy anamalizia kiulaini. Halafu anavyoshangilia kwa nguvu sasa khaaa
 
Wewe huna uelewa mkubwa kama benchi la ufundi la Villa lililompa kandarasi ya miaka 4.
Najua nitashambuliwa kwasababu waTz hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.

Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.

Twende kwenye hoja, ukiangalia samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakina kujitengenezea wala kujitafutia.

Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia . Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahis kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania

Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.

Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mchezaji aliekuwa wa kuandaliwa mpira kama Ronaldo de Lima ila alitoboa vizuri sana!
Hapana hakuna ukweli katika hili yes Ronaldo alikuwa 9 wa kizamani kidogo ila alikuwa ana speed na uwezo wa kuwaacha defenders kama wamesimama. Ukweli Samatha tumpe muda ana uzuri wake hasa katika kutumia kichwa yuko vizuri na silaha yake itakayo msaidia. kuna vitu lazima afifanyie kazi sana link play yake bado na touch zake sio nzuri na kubwa zaidi yuko slow katika maamuzi na kutoa pass au kuunganisha pass na wenzake. haya mambo ni mazoezi na atacheza akijitahidi. ni ukweli EPL ni speed sio kama alikotoka ila sababu hana muda mrefu mimi naamini juhudi zitazaa matunda ila kumsaidia ni kumwambia ukweli mapungufu ili afanyie kazi yuko vizuri kwa kichwa Villa nao wamjulie kumpa cross atawafungia na yeye afanyie yale magumu kwake. Ronaldo alikuwa na speed anawekewa tu through ball anawazuguka. Samatha fanyia kazi mapungufu
 
Back
Top Bottom