Wacha upuuzi wa Kimburu wa huko Hanang wa kuchota magadi yanayotokana na kudra za Allah kisha waenda kubalishana na mahindi. ,yaani na kukaa kwako Canada kwa fadhila zaMagufuli bado hujajua English Hadi Leo Nani aliyekufundisha Agreement ni mkataba pambafff unajifanyafanya TU hapa kutafuta sifa...
Audhubillahi minashaytwani rajiymu!!! , mijitu yenye uchu na roho za kwa Nini ndio Jamaayao huyo kiumbe Allah aliyemharamisha kuliwa na viumbe wake wenye akili salama
Hapana!, Membe kaza kamba uko sahihi , wakati unafedheheshwa hakuna Askofu Wala Mchungaji aliyemsihi Msiba aache usheitwani wake kutaka kuwaangamiza wenziwe bila huruma huyo hastahili hata kuishi na Bin Adam, alivimba kichwa sana akitoa shutuma kwa aliodhani tu hawa hawastahili kuishi ...
Wewe kama ni Mtaalamu uliosomea mambo hayo na waweza kuchanganua huko ulipo bila ya kushirikishwa ingekuwaje kama ungekuwa we ni ktk Timu iliyosaini mkataba ?, Bali pia inawezekanaje hujulikani na Vingozi wa Kitaifa?, Au ndo walewale wasuK GANG
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.