Recent content by Abubakar Abdallah

  1. Abubakar Abdallah

    JamiiForums Tanzania Nampenda rafiki yake kuliko yeye

    Stori za kutungwa,unaboaa
  2. Abubakar Abdallah

    JamiiForums Tanzania Dalili 10 za mwanamke msaliti

    Kiseyeye[emoji1]
  3. Abubakar Abdallah

    JamiiForums Tanzania Malipo ya youtube yanapatikanaje

    Wanajamvi kama kuna mtu anatambua watu wanalipwa vipi youtube kwa video wanazoweka naomba anijuze,na anapitia hatua zipi....
  4. Abubakar Abdallah

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya viungo

    Nataka kubuild body bt naanza na juu kwanza,lakini watu wanantisha niongeze ratiba ya mlo,eti wale mabode byulda msaada plz...,na ukiweka na aina ya zoezi la kupiga sio mbaya,na mda wa kuona outcomez.....
  5. Abubakar Abdallah

    JamiiForums Tanzania Unajipaka mafuta gani mwilini?

    Ni vizur pia ukiweka na bei yake..
  6. Abubakar Abdallah

    JamiiForums Tanzania Unajipaka mafuta gani mwilini?

    ....ni losheni ipi ni nzuri kwa ajili ya kuifanya ngozi ing'ae...,kuondoa dark spots pamoja na weusi weusi?...[emoji1]
  7. Abubakar Abdallah

    JamiiForums Tanzania Mapenzi bila mawasiliano

    Unayaonaje,wewe unaweza kuvumilia kutowasiliana na mpenziwo[emoji1] kwa mda gan...,
  8. Abubakar Abdallah

    JamiiForums Tanzania Je, Kusoma combination ya PCM ni sawa na kujichosha?

    Ni zaidi ya kweli,mkuu afatilie tu
  9. Abubakar Abdallah

    JamiiForums Tanzania Schorlaship za nchi za kiarabu 2018

    Ulikwendaje mkuu
  10. Abubakar Abdallah

    JamiiForums Tanzania Je,tendo la dhambi usiyo ijua ni dhambi ? .

    Infact ukristo una mapungufu makubwa kwenye misingi ya imani yake,kuanzia dhambi ya asili,utatu mtakatifu,mgawanyo wa maagano,namna ya kufuata mafundisho na mengine mengi,....concept ya dhambi ya asili hata uiwaze na kujaribu kuitetea vipi,bado ina mapungufu makubwa na haiko sawa
  11. Abubakar Abdallah

    JamiiForums Tanzania Shuhudia mechi ya Barca Vs Chelsea kwa kifurushi cha Bomba ndani ya Dstv

    Kwan mobdro wanakuaga na ghrama gan?
  12. Abubakar Abdallah

    JamiiForums Tanzania Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

    Mkuu huu ni uongo na pumba pia
  13. Abubakar Abdallah

    JamiiForums Tanzania Manchester United wang'olewa na Sevilla katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mungu huyu bundi apite mbali
Back
Top Bottom